Na hii jee? Pia yako.

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,564
2,059
Katika Maisha Unaweza Kukutana Na Watu Wengi Ambao Unaweza Kuwasahau Lakini Baadhi Yao Huwezi Kuwasahau Ambao Wamekufanya Ufanye Kitu Tofauti Katika Maisha Yako Na Najua Kama Mimi Ni Mmoja Wao Kati Ya Hao Watu Ambao Huwezi Kuwasahau Kwa Sababu Nimekufanya Usome Huu Waraka Mrefu Ambao Hauna Maana Yoyote Katika Maisha Wala Hautokusaidia Na Bado Unaendelea Kusoma Wakati Nilishakuambia Hauna Maana Lakini Bado Tu Unaendelea Kusoma Inaonyesha Kwamba Ni Mgumu Kuelewa Yaani Naendelea Kukushangaa Unavyotoa Macho Na Kusumbua Vidole Vyako Jamani Si Uwache Kusoma. Duh Wewe Kiboko Yao Bado Tu Unaendelea Na Unacheka.
 
Nimeshindwa kuchangia kwavile sentensi ni ndefu sana haieleweki. Haina "comma" wala "paragraph" kazi ipo!
 
Katika Maisha Unaweza Kukutana Na Watu Wengi Ambao Unaweza Kuwasahau Lakini Baadhi Yao Huwezi Kuwasahau Ambao Wamekufanya Ufanye Kitu Tofauti Katika Maisha Yako Na Najua Kama Mimi Ni Mmoja Wao Kati Ya Hao Watu Ambao Huwezi Kuwasahau Kwa Sababu Nimekufanya Usome Huu Waraka Mrefu Ambao Hauna Maana Yoyote Katika Maisha Wala Hautokusaidia Na Bado Unaendelea Kusoma Wakati Nilishakuambia Hauna Maana Lakini Bado Tu Unaendelea Kusoma Inaonyesha Kwamba Ni Mgumu Kuelewa Yaani Naendelea Kukushangaa Unavyotoa Macho Na Kusumbua Vidole Vyako Jamani Si Uwache Kusoma. Duh Wewe Kiboko Yao Bado Tu Unaendelea Na Unacheka.

Umeona he!!!!!!!!!! Kweli wewe kiboko. Nimecheka vibaya mno.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom