Na hapa jee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hapa jee?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lole Gwakisa, Apr 16, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  020.JPG

  Wakuu hamuwezi kukosea , na hapa ni wapi?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,898
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kwa papaa obama hapo.
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera tumejua
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe yale mambo ya kwenda kupigia picha barazani kwa watu mpk leo yapo.....
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Aku!
  Hapo mie sipo maana ndo nilikuwa napiga picha!!!!!!
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Mkuu kijijini hapo kila anayekwenda lazima apige picha asije kufa bure bila kuweka kumbukumbu.
  Halafu jamaa hapo hawana noma kabisaaa!
  Pamoja na ukweli kuwa duniani hapa hakuna sehemu yenye ulinzi mkali kama hapo.
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Karibu kijana kama huna mwenyeji useme tupo wengi hapa
   
 8. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kazi ipo na ikulu zao! Sisi yetu ipo karibu na bahari Tsunami ikija bongo km ya kule kwa Yamaha na kyushu na Honshu yatakayojiri mie sijui kabsa!
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Pennysl.......... Avenue!!! Wabongo huwezi kukosa kuwatambua si unaona vitambi; bila shaka walikuwa wanafakamia McDonald na kilaji!!
   
 10. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,556
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli Mkuu sijui wataokolewa vipi.
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,495
  Likes Received: 1,836
  Trophy Points: 280
  Mkuu vitambi hivyo vinalelewa haviji siku moja, si unajua tena, posho,alawansi za kujikimu na mengineyo, fanya hima na wewe usiwaonee wivu.
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,489
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hapo ni Tabora, nyumba ya Mzee wa Ngwasuma, Prof. Juma Kapuya :)

  Kwa nyuma, kuna lile jengo la zamani ambalo Tabora Jazz walikuwa wakipigia nyimbo zao mashuhuri kama dada Asha.

  Kwetu Pazuri jamani................. Njooni hadi SIKONGE....... Mhhh, hivi nimepatia?!?!
   
 13. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Lily Flower, huo mguu kwenye Avatar yako kama ni wako mshukuru Mungu kwa kukujalia!!
   
 14. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nyumba nyeupe
   
 15. paty

  paty JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  aibu gani hii , hapo huna hata picha moja uliyopiga serengeti au mikumi .
   
 16. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Usijali mkuu, karibuni nitaweka pambano la tembo pale Mikumi nililolishuhudia hivi karibuni.
   
Loading...