Lema hamuwezi Mange, amejimaliza kisiasa

Kwani Mange ndo alimuweka Lema kwenye siasa? Mange anaogopwa na watu wenye mikono michafu kama wakina Samia na Familia yake. Nampngeza Lema kwa kuwafundisha Siasa.. Mange ni muongo na haaminiki tena. Kawa kama Kigogo wa X. Chadema ni kubwa kuliko. Bora uwe upande wa Chadema kuliko mtu.
 
Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hanuwezi na ashajimaliza kisiaasa
Hana akili huyo mangi, watu waliokua na nyenzo zote za taarifa na uchumi kama Magufuli, Samia n.k wamemshindwa Mange ila yeye Lema anataka kupimana ubavu na Mange Kimambi.
inasikitisha sana.
Note:
I admire Magufuli
 
Kwani Mange ndo alimuweka Lema kwenye siasa? Mange anaogopwa na watu wenye mikono michafu kama wakina Samia na Familia yake. Nampngeza Lema kwa kuwafundisha Siasa.. Mange ni muongo na haaminiki tena. Kawa kama Kigogo wa X. Chadema ni kubwa kuliko. Bora uwe upande wa Chadema kuliko mtu.
Lema dalali kaumbuliwa, tutegemee mengi yatamwagika kwa lema
 
Kwani Mange ndo alimuweka Lema kwenye siasa? Mange anaogopwa na watu wenye mikono michafu kama wakina Samia na Familia yake. Nampngeza Lema kwa kuwafundisha Siasa.. Mange ni muongo na haaminiki tena. Kawa kama Kigogo wa X. Chadema ni kubwa kuliko. Bora uwe upande wa Chadema kuliko mtu.
Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua kinyago, period.
 
Hakuna kilichosemwa dhidi ya LEMA ,kikaishia kua cha Uongo au Uzushi

LEMA amepuuzwa na Wananchi.
 
Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua

Kama umemsikiliza Lema Jana utagundua kuwa Mange yuko well informed na jana Lema amejivua kinyago, period.
Mange si Mkamilifu lakini yuko vizuri sana na ni kati ya watu wachache sana wanaofahamu michezo ya CCM,Anafahamu pale Lema anafanya Semantic Engineering kwa kudogosha kile kilichotokea 29/10/ kwa kubadilisha lugha Na mission za Lema za Ad hoc diplomacy ku sabotage Campaign za kushinikiza International organisation zisichukue hatua ya kile kilichotokea 29/10..Lema hataki mabadiliko ya Mfumo,Mange can pick hicho kitu kwenye mazungumzo ya Lema easily kitu ambacho Watanzania wengi wanashindwa.
 
Kosa ambalo lema kalifanya ni kushindana na mange. Hamuwezi na ashajimaliza kisiaasa.
Hivi tangu lini Lema anakuwa ana akili? Hajui hata anachoongea, when someone said "You don't have balls" ina maana kuwa huna courage ya kufanya kitu, siyo yeye anajaribu kutufungulia suruali kuonyesha makenda* yake.....Haelewi na ni mgumu kuelewa huyo dalali na rafiki ya MAFWELE na police, huwa namfananisha na Sabela kwenye film ya SARAFINA. Leo hana aibu kama alivyo Mbowe, wote Madalali.
 
Back
Top Bottom