Na hapa je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na hapa je?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, May 24, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hi! Jamani inasemekana kuwa % kubwa ya wanaohudhuria kwa sangoma kuhusu suala la mapenzi ni wanawake, SASA,,,, sababu inayomfanya mwanawake kwenda kwa waganga wa kienyeji ni nini? Je,
  1. Hajiamini kwamba ana uwezo wa kumdatisha mumewe akadata?
  2. Ni wivu? Kwamba hataki asalimiane hata na majirani?
  3. Na wenyewe wanataka kuonekana ni wababe mbele ya wanaume zao?
  4. Ni ujinga?
  5. Ni kuigana?



  Mezaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sharobaro majibu umetoa mwenyewe hapo... kwa wale wanaoenda majibu ni all the above....
   
 3. M

  Munghiki Senior Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  imani za kijinga na kuiga!
   
 4. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhhhhh hata sijui sana

  Lakin najua mapenzi ya dawa si mapenzi na yaweza kuwa ya muda mfupi tu,...Kuna raha yake kujua mtu anakupenda ki ukweli na si anakupenda kwa kuwa umemtengeza akupende.

  Mi nadhan hiyo #4 ndo sababu kubwa..
   
 5. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watoto wamekuwa wengi mno humu JF
   
 6. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  majibu unayo mkuu..
   
 7. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa mtazamo huu, kweli tutafika?
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  May 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  duuuuuhh
  Hivi kumbee ee
   
Loading...