Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Kama CAF
Wamesimama MSIMAMO WAOO
NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb
Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa
Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final
Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio waanze kukimbixana na waturukiii
Berkane
"Hatuchezii NG'O KWA MKAPA**