Na enyoj madikodiko

Na enyoj madikodiko

david89

Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
19
Reaction score
20
Wadau poleni kwa uchovu wa siku nzima me shida yangu kama kuna mtu anao wimbo wa dogo mmoja hivi simjui ameimba ivi"narudi nyumbani kuenyoj ,kuenyoj madikodiko naenyoma mamaaa,naenyoj mamaaa",mbele sielew huko autume hapa niudownlod
 
Nilifikiri wimbo wa maana kumbe ni wa fleva?
 
Back
Top Bottom