Na corona hii michango ya harusi ni ya nini sasa?

ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
2,235
2,124
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi

Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?

Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
 
Corona iwepo au isiwepo, michango ya harusi kwangu ni big NO
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu.....kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi ..sasa MC ,buffet,DJ ,Ukumbi, Mapambo ,magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?..naomba mnipotezee na vikao vyenu vya whatsapp!
 
Hebu acheni ujinga wa kutuchangisha michango ya harusi wakati hakutakuwa na sherehe yeyote kwa mwaka mzima huu. Kama kuna ulazima wa sherehe basi hamtazidi watu kumi

Sasa MC, buffet, DJ, Ukumbi, Mapambo, magari ya kukodi, etc kwa ajili ya nini?

Naomba mnipotezee na vikao vyenu vya Whatsapp!
Kuna ndoa ya jamaa mwezi wa 6. Kuna watu washachanga laki 2 mbili zao.
Leo hii sherehe hakuna. Imekula kwao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom