mkuu BAK suala la North Korea kumiliki nukes si la kuaminika ni ukweli mtupu na hata wamarekani na washirika wao wanalifahamu hilo na wanaogopa ukizingatia sasa hivi anamiliki Taepodong 1na taepodong 2ambayo ni ICBM ambayo inauwezo wa kupiga mpaka upande wa mashariki wenye majimbo ya New York, New Jersey, North na South Carolina na mengineyo acha ule wa magharibi unaopakana nayo kwa bahari wenye LA, Frisco, nk. kwa hiyo America na South Korea wanajua nini IL sung, Jong IL na Jong un wanazungumzia.
Kinadharia tete, ukipewa uchaguzi wa kuzaliwa Tanzania au Korea Kaskazini utachagua uzaliwe wapi?
Unapanua panua mdomo hujui hata unachoongea
Ila mkuu uchumi wa hawa watu umetupita mbali sana halafu majority wa raia ni wasomi, sasa sijui kwanini unawaita ni wajinga au kwa sababu ni nchi ya kijamaa. Kuna mengi sana watu hawafahamu kuhusu hii nchi.Duh!
Hao watu ni wajinga kupitiliza!
Mbona unadhani? kwanini usitafute data..Sidhani hizo nchi zingine, ukiondoa labda Afghanistan, licha ya kwamba na zenyewe zilikuwa au zinaendeshwa kidikteta, unaweza kuzilinganisha na Korea Kaskazini.
Hata Zimbabwe chini ya Mugabe sasa hivi ina nafuu maradufu kuliko Korea Kaskazini.
Ila mkuu uchumi wa hawa watu umetupita mbali sana halafu majority wa raia ni wasomi, sasa sijui kwanini unawaita ni wajinga au kwa sababu ni nchi ya kijamaa. Kuna mengi sana watu hawafahamu kuhusu hii nchi.
Wa awamu ya kwanza.
Mbona unadhani? kwanini usitafute data..
[TABLE="class: infobox geography vcard"]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH="colspan: 3"]Population[/TH]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]2013 estimate[/TD]
[TD]24,895,000 (48th)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]2011 census[/TD]
[TD]24,052,231[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Density[/TD]
[TD]198.3/km[SUP]2[/SUP] (63rd)
513.8/sq mi[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]GDP (PPP)[/TD]
[TD]2011 estimate[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Total[/TD]
[TD]$40 billion[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Per capita[/TD]
[TD]$1,800[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa takwimu hizo hata Tanzania hatuoni ndani kwa korea kaskazini. Unajua media za west huwa zinatudanganya sana kwamba jamaa wako hoi ila ki ukweli jamaa hawako vibaya kama tunavyodhani.. (hizo ni data za google) Tusiwadharau sana north korea
Hizi hapaNadhani hizo utakuwa umezitoa Wikipedia.
Sasa, ili kutenda haki ziweke na za Tanzania basi.
Mbona unadhani? kwanini usitafute data..
[TABLE="class: infobox geography vcard"]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TH="colspan: 3"]Population[/TH]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]2013 estimate[/TD]
[TD]24,895,000 (48th)[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]2011 census[/TD]
[TD]24,052,231[SUP][2][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Density[/TD]
[TD]198.3/km[SUP]2[/SUP] (63rd)
513.8/sq mi[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]GDP (PPP)[/TD]
[TD]2011 estimate[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Total[/TD]
[TD]$40 billion[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Per capita[/TD]
[TD]$1,800[SUP][3][/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa takwimu hizo hata Tanzania hatuoni ndani kwa korea kaskazini. Unajua media za west huwa zinatudanganya sana kwamba jamaa wako hoi ila ki ukweli jamaa hawako vibaya kama tunavyodhani.. (hizo ni data za google) Tusiwadharau sana north korea
Hizi hapa
[TABLE="class: infobox geography vcard"]
[TR="class: mergedtoprow"]
[TD="colspan: 2"]GDP (nominal)[/TD]
[TD]2014 estimate[/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Total[/TD]
[TD]$36.6 billion[SUP][7][/SUP][SUP]a[/SUP][/TD]
[/TR]
[TR="class: mergedbottomrow"]
[TD] -[/TD]
[TD]Per capita[/TD]
[TD]$768[SUP][7]
[/SUP][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: infobox geography vcard"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Gini (2012)[/TD]
[TD]37.8[SUP][8][/SUP]
medium[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]HDI (2013)[/TD]
[TD]0.488[SUP][9][/SUP]
low · 159[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hiyo HDI kwetu ni ndogo mno ukicompare na wao ambayo ipo kwenye 0.67
Hapo napo kuna utata kwamba kanadanganya Ulimwengu kwamba kana kitu kizito, lakini wachunguzi wengi duniani wa mambo haya wanaamini jamaa anacho kitu kizito. Ndio sababu wanakuwa makini mno katika kukatia adabu.
marekani anasumbuliwa na ugonjwa wa kushindwa kufanya mapandikizi yake korea ya kaskazini. Patent na invention zao zote hazijasajiliwa popote pale duniani kama ambavyo nyingine lazima zisajiliwe USA au euro na hili nalo linamsumbua sana USA. Shida kubwa ni north korea mpaka sasa wana uwezo wa ktuoa "nuclear fuel" kutoka kwenye vinu vyao na wamewazuia wakaguzi kuingia nchini mwao kama inavyotakiwa na shirika la atomic.
Teh teh teh....North Korea wana inventions gani?
huna lolote wewe unadhini north korea ni Tanzania?
huna lolote wewe unadhini north korea ni Tanzania?
Akiandikia gazeti la The London Observer mwaka 1963, mwaka mmoja tu tangu kuanzishwa kwa nafasi ya Rais Mtendaji nchini, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliwahi kukiri jambo hili kwa kusema: " kusema kweli, Katiba (hii) inanifanya dikteta kwa kigezo chochote kile cha kidemokrasia.
- See more at: Raia Mwema - Madaraka ya Rais asiyeambilika yanazaa udikteta