Ntemii
JF-Expert Member
- May 25, 2022
- 290
- 525
Wasalaam
Naomba niende moja kwa moja.
Nina tatizo linalonisumbua sasa zaidi ya mwaka.
Mzunguko wangu wa hedhi umekua na shida..kwanza niweke kumbukumbu kipindi cha nyuma nilishawahi kitumia sindano hizi za kuzuia mimba za miezi mitatu nilitumia kama mara mbili nikaacha ambapo jumla ni miezi 6.
Sasa baada ya kuaacha nilikaa muda kama miezi mitatu bila kuingia hedhi hivyo zilipo kuja kutoka zilitoka mfululizo zaidi ya wiki 2.
Zaikakata..niakendelea nikawa naigia kila mwezi ila zikawa zinatoka za rangi ya brown na ndani ya siku 4 zinakata..miezi mingine zinatoka hata siku 2 tu zinakata.
Baadae tena ile hali ya kutoka hedhi kwa muda wa wiki na zaidi inajirudia..ikikata nakuwa normal tu ila ndio hivyo zinatoka za rangi ya brown sio nyekundu kabisa.
Tumbo haliumi sana wala halikati..nimeenda hospitali kuonana na gynecologist nikafanyiwa vipimo..vya uzazi niko normal ila shida ilikua ni hormone imbalance napo nilipewa dawa.
Ila bado tatizo linaendelea kama nilivyoeleza hapo juu hali hii imekua ikinitesa sana..hasa ukizingatia kwa sasa nipo kwenye ndoa na natafuta mtoto.
Naombeni msaada katika hili.