Says who?Kwa maadili ya kitanzania ni miongoni mwa necessity
AhaaSociety...
Peak ya fertility ni 18- 25 kwa mwanamke...ila currently wengi wanazaa 28+....na bado uwezo wa kulea kimo hakuna...wanafanya just kutimiza cycleNapendekeza kama nafasi inaruhusu mtu azae mapema na awe na mke wake tokea miaka ya 17,18,19 huko,akishafikia umri wa miaka kadhaa anahangaika na mambo mengine tu ya maisha.
Ndo maisha bwana.Peak ya fertility ni 18- 25 kwa mwanamke...ila currently wengi wanazaa 28+....na bado uwezo wa kulea kimo hakuna...wanafanya just kutimiza cycle
Hebu mwambie bata wanalokula single boys.