Mzungu : Waafrika msimkimbilie Ulaya. Tanzania kuna maisha mazuri kuliko Ulaya

Mzungu : Waafrika msimkimbilie Ulaya. Tanzania kuna maisha mazuri kuliko Ulaya

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Personally. I agree with him.

( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment)

Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇

Personally. I agree with him.

( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment)

Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
Haya. Mwambie aje tuongee pombe na bange alovuta likiisha kichwani, maana vinamfanya aone kila kitu kiko kinyumenyume! Mbona yeye ameondoka Afrika?

Ulaya hakukatiki maji wala watu hawajazani mwendokasi, anataka kutuambia nini? Tusiende Ulaya tuendelee kupigwa na Polisi tukienda kanisani? Life is a bitch in Africa, trust me!
 
🙂 TL ameishi kote lakini inaelekea mwishowe yuko tayari kuwa mfungwa nchini mwake wakati wengine wakihamishia mapesa huko. Kuna la kujifunza
Mange Kimambi anaishi Marekani Ila hela zake anatengeneza Afrika.

( Opportunity)

EBM ( Ernest Boniface Makulilo) anaishi Marekani ila hela zake anatengeneza Afrika.

( Opportunity)
 
Personally. I agree with him.

( Nawajua nitaambiwa nawaonea wivu Diaspora. Kwa waafrika wengi kwenda kuishi Marekani au Ulaya is an accomplishment)

Video here 👇👇👇👇👇👇👇👇
Haijalishi ila Inategemeana Na Mtu.
 
Mpaka nifanikiwe na kuvumbua fursa hapa mkoani kwangu ndio nitajua kwamba nimetumia akili yangu ,siwezi kuacha ardhi ya nyumbani ...Tanga Tanzania nakupenda kuliko kitu chochote ..
Big up Sana. There is no need to go and live in a strange land.
 
Haya. Mwambie aje tuongee pombe na bange alovuta likiisha kichwani, maana vinamfanya aone kila kitu kiko kinyumenyume!

Ulaya hakukatiki maji wala watu hawajazani mwendokasi, anataka kutuambia nini? Tusiende Ulaya tuendelee kupigwa na Polisi tukienda kanisani? Life is a bitch in Africa, trust me!
Una akili za kitoto sana.
 
Majuu ukipata nafasi nenda,mazee

Usidanganyike na wazungu hao wanasema kuna maisha mazuri hapa,wanadanganya

Just imagine ndani ya miezi minne umevuna dollar elfu 20,kwa vibarua tu then utafute nauli urudi home,sasa hiyo pesa kwa mtu wa kawaida hapa home utaipata kwa muda gani
 
Life is tough in Europe and USA mkuu.
In Tanzania life is easy. Unaweza kuishi vizuri kabisa hata kama huna kazi. But never in Europe or USA
Nyumbu hawawezi kukuelewa ila sisi tulioishi huko tumekuelewa!!
 
Jamaa yangu Mmoja alienda USA kwenda kwa kibarua cha kuvuna matunda..ila alikua na masters ya mambo ya KILIMO..jamaa anasema room ya kijinga jinga tu kwa mwezi USD 2400..alivopata mtaji hakukawia akaarudi...lakini Tanzania hii ardhi unaweza tafuta pori ukajigawia tu ...So it seems like ni kweli huko USA na Europe life ni tight sana
 
Kama ni chawa ndio ni pazuri kuishi kama chawa ni kama kunya nje...kujichekesha bila sababu mtu mzima sii mchezo...pia kama una pesa ila asilimia kubwa kwakweli hawana ayasemayo...yy ni mgeni sisi wenyeji tunaujua mji sie wananzengo
 
Back
Top Bottom