Mzungu wa nne! nini chanzo chake!

Mzungu wa nne! nini chanzo chake!

Moja wapo ya Chanzo:
1. Njia mojawapo ya uzazi wa mpango kupunguza vishawishi.
2. Mmoja anafanya kazi zaidi ya mwingine inayonfanya achoke na hivyo kutotaka kushiriki.
3. Mgomo. Kuweka msisitizo ili jambo fulani lizungumzwe.
4. Kuna mmoja haaminiki hivyo kujihami na magonjwa inabidi mambo yawe hivyo.
5. Wakati mwingine ni upuuzi tu
 
Duuuuuuuuu........!!!!!!!!
 
Kwenye ndoa kuna mambo!! Ngoja niendelee kusugua gaga mie
 
Back
Top Bottom