Mzungu, nyani na mbongo

Mzungu, nyani na mbongo

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
200
Mzungu mmoja alipita na nyani wake karibu na muuza ndizi,nyani akapora ndizi akaila. Muuzaji akamind,mzungu akasema unamind nini wakati kala ndugu yako! Mzungu akaondoka. Aliporudi akakuta nyani wake kafa,akauliza kwanini mmemuua nyani wangu?Muuzaji akajibu hayakuhusu haya ni mambo ya kifamilia...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom