Mzungu na kiswahili

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kuna Mzungu alikuja Tanzania kujifunza Kiswahili, alipomaliza kozi yake akiwa airport akaambiwa ongea maneno uliyojifunza kipindi hiki,akaanza Umeme Katika, Umeme utakuja Saa ngapi?,Umeme hamnaa, Mgawo haujaisha,Tanesco umeme wapi? Ngeleja leta umeme, Mabwawa hayana Maji ya Umeme, Huoooooo Umerudi, Aaaah Wamekataaaa, Huoooooo, Aaah wamekata
 
Back
Top Bottom