Mzungu mmoja alikuwa na mbwa wake aliyempa jina la kutosha, siku moja alipanda treni daraja la tatu huko kenya sasa alipokuwa ndani ya trena jamaa mmoja akapita na chipsi yai na mishikaki kwenye mfuko, kutosha akasikia harufu ya msosi akachoropoka kutoka kwa mzungu na kufuata harufu, mzungu kustuka akawa hamuoni mbwa wake akaanza kumtafuta kutosha huku anawauliza watu, bahati mbaya sn mzungu suruali yake ilikuwa kumbe imechanika kwa nyuma na hakuwa amevaa chupi, sasa akawa anainama huku anawauliza wa have you seen kutosha? Watu wakawa wanajibu Noo, mzungu anaendelea kuinama na kumtafuta, anauliza tena have you seen kutosha?