MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
mazungumzo kati ya walokole wawili:.................................... Mlokole no 1: Mtumishi unajua kuna pepo mmoja ameshika kasi sana, Mlokole no 2: Ndio mtumishi hata mimi nimeona hilo halafu anatawala kati ya watu wa dini zote, Mlokole no 1: Kabisa mtumishi hasa kwenye mazungumzo wanamtukuza sana, utakuta mtu anamsalimu mwenzake anamwitikia MZUKA........ Mlokole no 2: Ili linahitaji maombi ya kina.