Maelfu na maelfu ya wapalestina kaskazini Gaza wameitikia wito wa Israel kwenda kusini huku wakipeperusha bendera nyeupe na kunyoosha mikono juu

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,734
29,126
Mzuka Wanajamvi,

Jeshi teule tukufu na takatifu la Israel IDF toka mwanzo imewasihi wapalestina Kaskazini Gaza kuhama kwenda kusini kwa matangazo, vipeperushi na ujumbe wa SMS ukiwaonesha ramani ya kupita. Kumbuka hapo bado haijaingia Gaza.

Leo jummanne tarehe 7 jeshi hilo teule limeweza kuwaelekeza maelfu ya wapalestina kuhamia kusini kupitia kwenye 'evacuation corridor ' ambayo IDF iliweka kuwawezesha wapalestina wapite salama kuelekea kusini.

Video na picha inawaonesha wapalestina maelfu wakilia karibu na vifaru vya Israel huku wengine akinyoosha mikono juu na kupeperusha bendera nyeupe jinsi walivyoelekezwa na IDF.

Endelea kusoma kwa kiingereza
The IDF’s Arabic-language spokesman, Avichay Adraee, also posted the short clip, telling residents that the Salah a-Din road would be open for Palestinians to evacuate to southern Gaza between 1 p.m. and 4 p.m.

Endelea kusoma kwa kiingereza
“If you care about yourself and your loved ones, head south according to our instructions,” he wrote. “Rest assured that Hamas leaders have already taken care of themselves.”

Endelea kusoma kwa kiingereza
For weeks Israeli authorities have been urging civilians in Gaza to move to the southern part of the Strip, as its ground and air operations against have been mostly concentrated in the north. Israel has dropped fliers in the northern Strip urging people to leave and providing maps of evacuation routes.

Picha na video

Wacha wahangaike na kina mama na watoto hapo Ghaz.

Vijana wwanawasha moto kila peme ya Tel Aviv, sasa hivi:

View: https://youtu.be/QW2mwk_H6pI?si=QAPGePmdTo0xxV0b

safi sana, kama wanafanya hivi basi wakianza kuokota miili kwenye vifusi kule gaza wasiwe wanalia na msiwe mnasema israel isitishe mashambulizi bila kuwaambia hamas wasitishe mashambulizi. hizo ni mali zinapatikana as long as upo hai, watajenga mengine, ila hao wanaokufa watafufuka? na ajabu ni kwamba hao wanaokufa wanaenda moja kwa moja motoni kwasababu wanakufa bila Mungu wa kweli, wanaabudu tu allah ambaye naye yupo motoni sasaivi.
 
Safi sana. Allah analia asaidiwe motoni huko waislamu nao wanamlilia. Yani this cult of death
 
Back
Top Bottom