Mzinga!

Mzinga!

tatizo vijana wanataka k alafu hawataki kugharamikia. wewe kama mwanaume lazima ukubali kuwa papuchi zote unazoona mtaani zipo for sale...u just have to reach the asking price.
Unasema?
 
Mhhh jaman dia yani ndo umenileta kuniposti huku?kisa nimekuomba buku 9?mwanaume huna dogo hadi hili unalileta JF... Basi baki na hela yako sitaki tena, watatunza wanaume wenzako.

Siku ya kwanza unanipa mzinga, ya nini?
 
tatizo vijana wanataka k alafu hawataki kugharamikia. wewe kama mwanaume lazima ukubali kuwa papuchi zote unazoona mtaani zipo for sale...u just have to reach the asking price.

Labda nikuulize swali wewe, una uwezo wa kutoa hela hata kama hujui zinakwenda kutumika wapi?
 
Mzinga wa buku tisa? Si hela ya mlo mmoja kwa siku hiyo jamani ..... Khaa am speechles! Elfu tisa ni euro ? Usd? Au ni tsh kwanza? Hebu fafanua?
 
Mzinga wa buku tisa? Si hela ya mlo mmoja kwa siku hiyo jamani ..... Khaa am speechles! Elfu tisa ni euro ? Usd? Au ni tsh kwanza? Hebu fafanua?

Hahahahahaha! Elf 9 ya JK Smile!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom