appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,836
- 3,118
Si ukae peke yako? Kwani umelazimishwa kuwa na hao kina mama?
mungu kaniagiza nimtafuta msaidizi wangu tuiajaze dunia hii ya mungu natimiza andiko tu
Si ukae peke yako? Kwani umelazimishwa kuwa na hao kina mama?
kabisa wajitume misinga siyo inshu!Inachekesha sana haya matukio ya namna hii...!
Wenye pesa unaowaona wewe ndo wa maana wana vyombo vingine kwa maana hiyo hauko peke yako, so wewe ni chombo tu unatumika, HESHIMA YAKO iko wapi?
kabisa wajitume misinga siyo inshu!
na mimi siwezi date na mwamke mwenye mawazo ya kua golikipa nataka mtu wa kutafuta nae anisadie japo kwa mawazo basi hata tukija kuaachana tugawane mali kila mtu awe ameridhika. kama mwanamke unapenda pesa kila mwanaume mwenye pesa si atakua wako
Kwani huyo unayempa buku9 humtumii?bora ku2mika kwa faida
Na kama mtu hata kama hatoi hela lkn siyo wa kumtema, siku nyingine huyo huyo unayemwona hana ishu kisa hajakupa hela na kumtosa leo hii akiwa "bharesa" mwingine utafanyaje? maisha haya mzunguko
wachuja nafaka
Kama wewe unatumika kwa faida yako binafsi, huna faida kwa wengine pia..!
Mzunguko kama Duara!Na kama mtu hata kama hatoi hela lkn siyo wa kumtema, siku nyingine huyo huyo unayemwona hana ishu kisa hajakupa hela na kumtosa leo hii akiwa "bharesa" mwingine utafanyaje? maisha haya mzunguko
Mwanaume akipata pesa anamtema manzi wake wa zamani na kutafuta matawi mengine so sioni logic ya kujipa tabu kumvumilia mtu atakayekuja kukutema akipata
Usikwepe majukumu mwanaume anasifiwa kwenda benki kuweka na kutoa pesa
bk 9 kitu gani, unamtumia tu,halafu mikausho mikali
Raha jipe mwenyewe babu huyo mwanaume nimezaliwa naye kwani?personal benefits ndiyo yamata zaidi
Anhaa! Na hizo hela unaona zinakujenga?
Basi wewe maisha yako ni wa kutemwa mpaka mwisho ndivyo ulivyojijengea na kujiwekea utaratibu huo, ndo maana nilisema mwanzoni kwamba unafanya kwa faida yako tu lkn huna faida kwa wengine...!
Sana 2 hela ya kuhongwa tamu
Faida anayopata si mgegedo ninaompa? Kama humhongi mpenzio anahongwa na wenzio kwa taarifa yako