Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Mdada: Mambo?
Mkaka: Poa, vipi hali?
Mdada: Safi, nina hali mbaya jamani
Mkaka: Kulikoni?
Mdada: Deki ya cd imeniharibikia, nimepeleka kwa fundi nimeambiwa mpaka nilipe 9,000!
Mkaka: Pole sana, peleka akatengeneze
Mdada: Aah na wewe, mi nilitegemea utaniwezesha...!
Mkaka: Kumbe shida yako ni hiyo!? Aisee dah nikipata chance ntakurushia kwa sasa simu haina hela imebaki kiduchu..!
Mdada: Lini?
Mkaka: Nikipata nafasi, kwa sasa niko busy kidogo
Mdada: Nasubiria hiyo hela
Mkaka: Poa haina mbaya...
Mdada: Nataka leo lakini kabla ya kesho
Mkaka: Ntaangalia
Mdada: Owky!
*************
Kimya kingi mkaka yupo busy na kujenga maisha hata nafasi ya kutafuta muda wa kuweka hela hana, kesho yake
*************
Mkaka: Mambo?
Mdada: Mzushi wewe, sina hamu na wewe
Mkaka: Ooh pole, nisamehe
Mdada: *kimya...
NOTE:
Mkaka hapo tayari keshaweka hela tayari anajianda amrushie lkn keshakumbana na sms ya namna hiyo, afanyeje?