twinaomukama
Member
- Nov 30, 2012
- 8
- 6
[h=5]mi nasema tu kulingana na maoni yangu juu ya mambo matatu yanayosemwa semwa sana tanzania
1.kuhusu raslimali za nchi yetu hii ya tanzania, napozungumzia raslimali namaanisha yale mambo muhimu tuliyo pewa na mwenyez mungu bure kabisa bila malipo, kama vile mafuta, makaa ya mawe, maji, na madini mengine mengi, ikitokea madini yakapatikana tanzania ni ya watanzania tu! lakini yakipatikana katika mkoa mmoja wapo kati ya mikoa ya tanzania si ya watu wa mkoa ule tu! narudia hiyo ikitokea raslimali ikapatikana tanzania ni ya watanzania tu peke yao si ya wakenya wala wamarekani bali ni ya watanzania, mfano madini yakipatikana dodoma hayo siyo ya watu wadodoma tu bali ni ya watanzania wote, isipokuwa inabidi katika faida na mapato yanayotokana na hiyo raslimali inabidi kwanza wanufaike watu wa sehem yalikopatikana na hii sheria ingewekwa kwenye katiba ieleweke hivyo alafu mapato mengine yaende sehem nyingine za nchi, NADHAN SUALA LA GESI MTWARA NI HATARI SANA TUKIANZA KULUMBANA HATA GESI HAIJACHIMBWA HAPA INABIDI VIONGOZI KUWEKA SIASA NA USHABIKI PEMBENI NA KUKEMEA UPOTOSHAJI WA AINA YEYOTE ILE,:attention:[/h]