Mambo makuu mawili ndiyo yamekuwa nguzo ya kuendelea kung'ara kwa nyota ya Edward Lowassa katika siasa za Tanzania. Mambo hayo ni 1. Utajiri/pesa zake na 2. Uimara/umadhubuti wa vyama vya upinzani baada kuunda ushirikiano wa UKAWA
Ametumia utajiri wake huo kuwanunua baadhi ya viongozi wa chama chake, wasomi, wamiliki wa vyombo vya habari, Spin doctors na Watanzania wa kawaida. Hao ndio wanaoendelea kumbeba juu katika siasa za Tanzania pamoja na kashifa za ufisadi zinazomuandama. Lakini Lowassa aliwahi kukataliwa na Muasisi wa chama chake CCM, Hayati JK Nyerere kwamba hafai kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, kwa sababu UTAJIRI na UMRI alivyonavyo (kwa wakati huo 1995) havina maelezo yasiyotiliwa shaka Lowassa kwa kufahamu hilo wingu linalozunguka maisha yake kisiasa, ameamua kufuata maneno ya busara ya wahenga wetu kwamba PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA!
Kwa mtazamo wa haraka utaona kwamba kama vile Lowassa anafanikiwa. Kwani katika Chama chake amewapiku wataka urais wengine wote (rejea kura ya maoni ya TWAWEZA). Lakini Lowassa ana vikwazo VIWILI VIKUU kufikia hiyo safari ya ndoto yake. Kwanza ni KAMATI KUU ya CCM. Tetesi zilivyo sasa ni kwamba CC itakata JINA lake, CC ya CCM haitakubali jina la Lowassa lifike hatua ya kupigiwa kura na NEC ya CCM. CC ya CCM inaamini kuwa kwenye NEC Lowassa ana wapenzi wengi kuliko wagombea wengine. Kama hilo litatekelezwa basi huo ndiyo utakuwa mwisho wa safari ya ndoto yake. Lakini KIKWAZO cha PILI cha Lowassa kitakuwa wananchi kama kweli Kamati kuu itasitisha mpango wa KUKATA JINA LAKE. Kwani kwa upepo wa kisiasa ulivyo kama jina lake halitakatwa basi Lowassa ndiye atapeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa 2015. Lakini kutokana na wingu la ufisadi linalomzunguka na pia kashfa ya kujiuzuru uwaziri mkuu kwa kashfa ya Richmond. Pia Afya ya Lowassa nalo ni suala linalotia hofu katika kumadi Lowassa na hasa Watanzania wakiwa na kumbukumbu fresh kabisa ya kifo cha Rais wa Zambia Michael Satta. Lowassa is UNELECTABLE. Aidha sidhani kama utajiri wake UTAHIMILI kuwahonga wapiga kura wote wa JMT. Maana nguzo yake kubwa ni kutumia utajiri wake kununua kura. Hata kama utajiri wake utahimili kuna makundi ya jamii hayahongeki linapokuja suala la kuchagua viongozi kama vile Wapemba. Pia kuna makundi ya jamii ambao wao ni "wajanja" wanakula rushwa ya mgombea lakini kwenye sanduku la kura wanampigia kiongozi wanayemtaka wao kama wananchi wa majimbo ya Arusha mjini na Mwanza (Ilemela na Nyamagana).
2. UPINZANI MADHUBUTI/IMARA
Upinzani madhubuti pia umemsaidia Lowassa kuendelea kuwepo katika chati ya political landscape za Tanzania. Kama tunavyofahamu vigogo wa vigogo wa CCM hawataki kabisa Lowassa awe mgombea urais kupitia CCM. Wote tunafahamu kampeni inayondeshwa wazi wazi na UWAMA dhidi ya Lowassa, ambayo ni Taasisi ina MKONO WA IKULU. Kwa sababu vigogo hao wa CCM hawana uhakika nini atafanya Lowassa akiwa Rais wa JMT. Hofu hiyo inatokana viongozi hao kumtosa na kumtwishwa Lowassa ZIGO LA RICHMOND. Lowassa aliwahi kukariri kuwa hakuna kitu alichowahi kufanya/kuamua bila Rais kujua. Kwamba alijiuzuru tu KUINUSURU serikali ya CCM, hivyo popaganda kuwa alikula rushwa ya Richmond peke yake ni UONGO. Lowassa ana SIRI nzito moyoni kama akifanikiwa kuwa Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania. Vigogo wa CCM wana hofu Lowassa anaweza kufanya kama yale aliyofanya marehemu Rais wa Malawi Levy Mwanawasa.
Kama tunavyofahamu CCM ni chama cha MIZENGWE NA FITINA! Mambo yao hayafanywi kwa uwazi au kwa taratibu zinazoeleweka kwa wanachama wake. Mambo ya CCM yanaendeshwa kwa MIZENGWE NA FITINA. Rejea kisa cha Sitta alipoambiwa kwamba kama anataka kugombea tena uspika wa bunge la JMT, basi abadilishe jinsia yake na kuwa mwanamke, kwani zamu hii LAZIMA speaker awe mwanamke.
Wakati CCM wanategemea kutumia MIZENGO NA FITINA kama ilivyo ada yao kumuengua Lowassa au kumzuia kugombea nafasi Urais wa JMT kupitia CCM, CCM mara hii wanaonekana kukumbana na mtihani mkubwa, kwani mizengwe na fitina kuzima ndoto ya safari ya Lowassa, inakaribiwa na changamoto kubwa, kwa sababu CCM haina uhakika tena wa kushinda uchaguzi mkuu, tofauti na changuzi za nyuma.
CCM wanafahamu kwamba kama watatumia mizengwe na fitina kuzima ndoto ya safari ya Lowassa. Lowassa alishawaambia in black and white CCM, kuwa yuko tayari kukipasua chama vipande viwili kama CCM hawataacha demokrasia ichukue mkondo wake. CCM wanafahamu kwamba Lowassa anao wanachama na wapenzi wengi sana nje na ndani ya CCM nchi nzima.
Kutokana na uimara wa vyama vya upinzani na hasa baada ya Muungano wa UKAWA. CCM wanafahamu fika kabisa kwamba kama Lowassa atatoka CCM na kuelekea huko atakapoamua kwenda, CCM asilani haitaweza kushinda UCHAGUZI MKUU wa 2015. CCM wanaitaka kwa udi na uvumba support ya Lowassa kushinda uchaguzi. Wakati ambapo opposition parties zilikuwa weak CCM wasingejali kabisa. Kwani CCM wangefahamu fika kwamba hata Lowassa akienda huko atakapoamua kwenda CCM wangeshinda uchaguzi mkuu, japo wangeathirika kidogo na percentage ya kura za Urais, Ubunge na Udiwani. Lakini nyakati hizi CCM wanafahamu Lowassa akitoka na kuelekea huko atakapokwenda na wapenzi na mashabiki wake, CCM nao wamekwisha, political landscape ya Tanzania imebadilika sio ile ya miaka ya 1995. Ndiyo maana CCM waliweza kufanya hivyo kwa akina Mrema, Marehemu Prof. Malima na bado wakashinda uchaguzi. Lakini kwa sasa CCM wanaogopa kama UKIMWI kumfukuza Lowassa. CCM kufanya hivyo ni ku write its own obituary, kwamba sasa CCM wamejibariki kuwa opposition party.
Kutokana na UIMARA wa opposition party, hivyo CCM wanataka kumu CONTAIN Lowassa. Yaani KUMDHIBITI Lowassa akiwa NDANI ya CCM, kwani akitoka NJE ya CCM itakuwa ni sawa hadithi ya genie out of the bottle, hawataweza KUMDHIBITI tena Lowassa, Wote tunafahamu jini ni DOGO likiwa ndani ya CHUPA, lakini likitoka ni balaa kubwa,
Hii strategy ya CONTAINMENT ya CCM dhidi ya Lowassa ndiyo pia inamuweka juu kwenye political landscape za Tanzania. Kwani Lowassa anaendelea kufanya kampeni zake za kufanikisha ndoto ya safari yake. Ni vipi CONTAINMENT POLICY/STRATEGY ya CCM itafanya kazi dhidi ya Lowassa that is remained to be seen, But once thing is CLEAR sio wote watakaoshinda vita hii yaani CCM and Lowassa on the other hand. LAZIMA mmojawapo kati ya CCM na Lowassa atashinda na mwingine atashindwa VITA hiyo?
Je kati ya CCM na Lowassa nani ATASHINDA hiyo vita? BE THE JUROR YOURSELF.
- PESA/UTAJIRI WAKE