MZIGO KULETA KUTOKA GUANGZHOU (Naomba Msaada)

saq

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
268
12
Wakuu wa JF,

Nahitaj. ushauri yenu, kama mtu anaytaka kuleta mzigo kadogo za vitu mbali mbali za kompyuta na electronics.
Una safirishaje ?
Kwa njia ipi kama sio kontena nzima hayfiki ?
 
zipo kampuni zinazoweza kukusaidia kuuleta kutoka hapo uliponunua mpaka kwako,hapa Tanzania,gharama unalipia hapa Tanzania,kama utapenda kupata maelezo ya kina tuma email: kkmarketing61@yahoo.com, tutakuunganisha na baadhi ya hizo kampuni.
 
Back
Top Bottom