Mzee Yusuph ndani ya Dubei

verry funny,,, but dis wasnt their song .... maybe umeitengeza wewe....but i really like it... shukran...
 
Hahahahahahaha jamaa wanaweza ngoma LOL!
 
na wewe yaonyesha pia waweza... lakini mbona hukuwepo hapo naona sikuoni???

NR, angalia vizuri utaniona. Miye ndiyo nacheza kuliko wote hapo hahahahahahaa. Mzima lakini wewe? Naona hii ni mitaa ya jirani na kwako.

aaaaaa nshakuona B.A.K...... MI MZIMA ALHAMDULILLAH.. VIPI NA WEWE,,,,, HAO LAKINI NI WASUUDIA SIO WAIMARATE....

Miye poa kabisa NR. Ndiyo maana nikasema mitaa ya jirani na kwako. Nawe unaziweza ngoma kama hizi? LOL! uwe mkweli NR.

hivyo wacheza wanaume mi kiukweli hivyo siwezi.... Labda nikuchekeshe tuu utaniona nainama kama nataka kwenda chooni lakini hak lillah sina moja....
miye poa kabisa nr. Ndiyo maana nikasema mitaa ya jirani na kwako. Nawe unaziweza ngoma kama hizi? Lol! Uwe mkweli nr.

hivyo wacheza wanaume mi kiukweli hivyo siwezi.... Labda nikuchekeshe tuu utaniona nainama kama nataka kwenda chooni lakini hak lillah sina moja....

Basi huwezi kujua! hayo madoido yako ya kuinama kama unataka kwenda chooni wengine wanaweza kuona ni style bab kubwa na si ajabu wakakuiga LOL!

Back
Top Bottom