D Descartes JF-Expert Member Jul 24, 2013 2,765 1,663 Jul 9, 2016 #2 Isingekuwa nimeona rangi nyeusi pekee, ningesema hapo ni Korea Kaskazini...
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,814 26,200 Jul 9, 2016 #5 Hivi huyu mzee ni mjeda..?
KWEZISHO JF-Expert Member Jan 29, 2016 7,519 6,516 Jul 9, 2016 #7 ITEGAMATWI said: Ni mu7 huyo au? Click to expand... Naam ndiye mwenyewe M7. Yupo darasani akiwafunda wenzake.
ITEGAMATWI said: Ni mu7 huyo au? Click to expand... Naam ndiye mwenyewe M7. Yupo darasani akiwafunda wenzake.
Richard JF-Expert Member Oct 23, 2006 15,502 22,353 Jul 9, 2016 #8 Si mchezo naona kila team leader kakamata "notebook".
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,483 Jul 9, 2016 #9 Otorong'ong'o said: Hivi huyu mzee ni mjeda..? Click to expand... Nguo tu kama wanavyovaaga kina Papa Wemba kuimbia ndombolo
Otorong'ong'o said: Hivi huyu mzee ni mjeda..? Click to expand... Nguo tu kama wanavyovaaga kina Papa Wemba kuimbia ndombolo