Mzee yoweri

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,627
105,541
Uongozi mtamuu

Ova
IMG-20200131-WA0042.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoweri atakapomuona rais wa Uganda katika maisha yake anaweza kufa, psychologically ameshajiweka kuwa yeye ni rais wa maisha wa Uganda.
Mimi namuunga mkono

Kashagawambia ambao wanaitaka hiyo nchi waende msituni

Mbona kitu simple tu

Urais siyo udiwan kuwa kila mtu lazima awe rais

Mseven yuko sahihi yeye alienda msitun ndo akaja akachukua nchi

Hivyo ana uchungu nayo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahahaaaa soon atakuja kusema wazazi wake walikosea, jinsia yake yeye siwanaume ila ni mwanamke ahahahaaaa,this is Africa buana
 
Aisee hii picha imenitoa machozi.!
Yaani utadhani wanaponda mwizi
Na hapo hata wakiua hawachukuliwi hatua utaambiwa marehemu alikuwa mchochezi akauawa na mabeberu!
Msaada please naomba kufahamu huyo kamanda anayepigwa hapo kwenye picha ni mbunge au diwani wa wapi? Na je alinusurika?

Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI HAPO KUNA MTU ANAPIGWA KIUHALISIA?
HEBU ANGALIA TENA PICHA BILA KUWEKA UCCM NA UCHADEMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom