Mzee Wassira yuko wapi?

Hata alipo bwagwa na Bulaya alikuwa na baraka za viongozi wake
Haahhaha mtihani wa kwanza itakuwa kuvuka kiunzi cha kura za maoni kwenye chama chake. Maana kuna mjaluo mmoja ambaye ni mpambe wake (jina kapuni ) hujimasibu kuwa wasira katumwa na wakubwa aende kugombe jimboni humo.
 
Wana jamvi naomba kuuliza mzee wetu Stephen Wasira yupo wapi mzee aliye itabiria cdm kufutika ktk siasa za tanzania mwaka 2014?

Nasikia baada ya kugaragazwa pale bunda aliamua kuwa mfugaji maarufu wa mbuzi huku akiisikia cdm inavyo chanja mbunga!

Amakweli dunia hii ni uwanja wa fujo. View attachment 1214570
Naona mwezi huu umeamua kupeleka njaa kwa huyo dada!
 
Vizuri sana kama ana biashara ya mifugo pia. Na hakukosea chama chenu kinazidi kujifukia ndani ya futi sita.

Acha wivu.. kufuga ni dili kubwa tu.. wewe kaa ulie lie juu ya kuwa mfata mkumbo
Njaa inamsumbua huyu kijana ndie alikuwa mramba viatu vya lowassa!
 
Nasikia ana mke. So angalia unapoulizia wanaume waliooa.

Wana jamvi naomba kuuliza mzee wetu Stephen Wasira yupo wapi mzee aliye itabiria cdm kufutika ktk siasa za tanzania mwaka 2014?

Nasikia baada ya kugaragazwa pale bunda aliamua kuwa mfugaji maarufu wa mbuzi huku akiisikia CHADEMA inavyochanja mbunga!

Amakweli dunia hii ni uwanja wa fujo. View attachment 1214570
 
Nasikia ana mke. So angalia unapoulizia wanaume waliooa.
Hongera sana komredi kwa kutimiza wajibu wako wa cheo chako cha praise the Lord hapo lumumba
FB_IMG_1493038526009.jpeg
 
Vizuri sana kama ana biashara ya mifugo pia. Na hakukosea chama chenu kinazidi kujifukia ndani ya futi sita.

Acha wivu.. kufuga ni dili kubwa tu.. wewe kaa ulie lie juu ya kuwa mfata mkumbo
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi wewe endelea kumtunza mwana wa kichina hapo ilala boma
 
Mzee yuko imara sana na atanatarajiwa kukabidhiwa Jimbo la Bunda Novemba, 2020 upende usipende.
 
Kama ndiyo hivyo mbona alishindwa kukabidhiwa hilo Jimbo wakati wa siasa za kistaarabu?
Mzee yuko imara sana na atanatarajiwa kukabidhiwa Jimbo la Bunda Novemba, 2020 upende usipende.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom