Mzee Wassira yuko wapi?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Wana jamvi naomba kuuliza mzee wetu Stephen Wasira yupo wapi mzee aliye itabiria cdm kufutika ktk siasa za tanzania mwaka 2014?

Nasikia baada ya kugaragazwa pale bunda aliamua kuwa mfugaji maarufu wa mbuzi huku akiisikia CHADEMA inavyochanja mbunga!

Amakweli dunia hii ni uwanja wa fujo.
tapatalk_1458023812583-1.jpeg
 
Nakumbuka aliwahi kutowa kauli tata, alipoulizwa na mwandishi mmoja wa habari juu ya kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda, Wasira alijibu:…Kibanda ni nani katika siasa za vyama vingi Tanzania hadi Serikali imsake na kumtesa? Yeye siyo Mbowe, Slaa au Lipumba. Hata kama Serikali ingeamua kupambana na maadui zake Kibanda bado hawezi kufuzu kwa sababu yeye hayuko chama cha upinzani.
 
Yupo kwake bunda akifanya vikao vya hapa na pale vizivyo rasmi juu ya kuwania ubunge. Bulaya anaweza asirudi kwa tiket ya ubunge wa kuchaguliwa na wananchi wa bunda... lolote lawezekana kwenye siasa hizi
 
Hakika mkuu kwa sasa sipati picha kama anaweza kwenda ikulu bila kubisha hodi
Haha kweli kila zama na kitabu chake.....

Enzi hizo Wassira ndo alikua kiungo muhimu ukitaka kuonana na Rais!!

Maisha yanabadilika sana!
 
Hayo ndiyo majibu ya kutoka kwa kiongozi mwandamizi
Nakumbuka aliwahi kutowa kauli tata, alipoulizwa na mwandishi mmoja wa habari juu ya kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda, Wasira alijibu:…Kibanda ni nani katika siasa za vyama vingi Tanzania hadi Serikali imsake na kumtesa? Yeye siyo Mbowe, Slaa au Lipumba. Hata kama Serikali ingeamua kupambana na maadui zake Kibanda bado hawezi kufuzu kwa sababu yeye hayuko chama cha upinzani.
 
Yupo kwake bunda akifanya vikao vya hapa na pale vizivyo rasmi juu ya kuwania ubunge. Bulaya anaweza asirudi kwa tiket ya ubunge wa kuchaguliwa na wananchi wa bunda... lolote lawezekana kwenye siasa hizi
Labda kwa mitutu na upinde
 
Vizuri sana kama ana biashara ya mifugo pia. Na hakukosea chama chenu kinazidi kujifukia ndani ya futi sita.

Acha wivu.. kufuga ni dili kubwa tu.. wewe kaa ulie lie juu ya kuwa mfata mkumbo
 
Labda kwa mitutu na upinde
Haahhaha mtihani wa kwanza itakuwa kuvuka kiunzi cha kura za maoni kwenye chama chake. Maana kuna mjaluo mmoja ambaye ni mpambe wake (jina kapuni ) hujimasibu kuwa wasira katumwa na wakubwa aende kugombe jimboni humo.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom