Mzee wa viagra

Mzee wa viagra

ha ha ha ha ha ha ha hah ngoja na mimi nikanunue ya kwangu haya wanajf jiandaeni mi nakunywa 9x9 kwa siku sijui humu jf kutakalika mpaka mniachie jf yote ....................:lol:...............................
Sina haja ya kuji-boost,kwa uwezo nilionao,hata viagra inatamani nguvu zangu.
 
JE HII Mzee kanunuwa viagra akaiweka juu ya mlango akimsubiri kichangu chake.mamaa anafika mzee kwenda kuangalia viagra haiyoni alisearch mpaka chini ya uvungu wapi, kutoka nje anamkuta panya anam-sex paka kwa kwenda mbele kumbe panya aliipitia

salute mkuu! Vipi nyoka akiipitia nyumbani patakalika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom