Mzee wa viagra

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Mzee kamtuma mtoto wake aende akamnunulie VIAGRA mtoto kufika phamacy akaambiwa mwambie mzee anywe vidonge viwili nusu saa kabla ya tendo la ndoa. Mtoto kacheza njiani akasahau maagizo akaenda mwambia baba yake mbili kutwa mara tatu. Mzee akatandika 2x3. yule jamaa wa phamacy akakutana na mtoto akamuuliza mzee anaendeleaje? mtoto akamjibu we acha hivi ninavyokwambia mama katoroka nyumbani, dada ana mimba na mimi ****** unawaka moto na marehemu sanduku halifungi.yaani mzee kafa lakini ngoma imesimama mpaka sanduku linashindwa kufunga
 
Ha ha haaaaaaaaaa, mzee hapa umezidi na viagra pia atumwa mtt? Mzee kajitakia
 
JE HII Mzee kanunuwa viagra akaiweka juu ya mlango akimsubiri kichangu chake.mamaa anafika mzee kwenda kuangalia viagra haiyoni alisearch mpaka chini ya uvungu wapi, kutoka nje anamkuta panya anam-sex paka kwa kwenda mbele kumbe panya aliipitia
 
ha ha ha ha ha ha ha hah ngoja na mimi nikanunue ya kwangu haya wanajf jiandaeni mi nakunywa 9x9 kwa siku sijui humu jf kutakalika mpaka mniachie jf yote ....................:lol:...............................
 
Mzee kamtuma mtoto wake aende akamnunulie VIAGRA mtoto kufika phamacy akaambiwa mwambie mzee anywe vidonge viwili nusu saa kabla ya tendo la ndoa. Mtoto kacheza njiani akasahau maagizo akaenda mwambia baba yake mbili kutwa mara tatu. Mzee akatandika 2x3. yule jamaa wa phamacy akakutana na mtoto akamuuliza mzee anaendeleaje? mtoto akamjibu we acha hivi ninavyokwambia mama katoroka nyumbani, dada ana mimba na mimi ****** unawaka moto na marehemu sanduku halifungi.yaani mzee kafa lakini ngoma imesimama mpaka sanduku linashindwa kufunga

loh hahaha.
na yy amejitakia anm2maje dogo viagra?
 
ha ha ha ha ha ha ha hah ngoja na mimi nikanunue ya kwangu haya wanajf jiandaeni mi nakunywa 9x9 kwa siku sijui humu jf kutakalika mpaka mniachie jf yote ....................:lol:...............................

Utaanza na nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom