Mzee wa Upako Apata Ajali na Kutokomea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa Upako Apata Ajali na Kutokomea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Jan 20, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,546
  Likes Received: 18,194
  Trophy Points: 280
  Hii nimeipata asubuhi hii. Mchungaji Antony Lusekelo, Mzee wa Upako' amepata ajali kwa kumgonga mwendesha pikipiki na yeye kulitelekeza gari lake eneo la tukio kwa kutoka mbio na kutokomea kusiko julikana.
  Kwa mujibu wa shuhuda, ajali hiyo imetokea asubuhi hii eneo la River Side Ubungo.
  Mwenye taarifa zaidi atuhabarishe.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  haya sasa, huyo ndy mzee wa upako, tena msamalia aliyejaa roho mtakakitu
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ajali haina mzee wa upako wala sijui nani ...kwani huyo jamaa amekata roho mpaka huyu mzee atimue mbio|?
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Usihukumu kabla ya kupata taarifa kamili, mtoa hoja mwenyewe pia ameomba kuhabarishwa!
   
 5. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hee amemgonga akiendesha ile HUMMER may be......
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,832
  Trophy Points: 280
  Halafu anataka diplomatic passport kama Pengo
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  he cant be serious
   
 8. O

  Omumura JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Yeye haipati hata kwa udi na uvumba, afilie mbali huko askofu wa kukusanya pesa za wanakondoo maskini.Kwanza akipewa hiyo diplomatic anayoililia atakuwa muuza unga tu wa south!
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Watumishi wa MUNGU waliosafi hawapaswi kufanya hivyo! Namuombea aliyegongwa apate kupona mapema na kufarijika
   
 10. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Inawezekana alihisi wananchi wenye ghadhabu watamvamia...
   
 11. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtu wa upako alitakiwa atoe huduma ya kwanza ikiwa ni pamoja na kumpeleka hospitali majeruhi badala ya kukimbia
   
 12. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ohh,pole..
  Yaani aksofu mkuu anajiendesha mwenyewe....nachojua cheo km hicho ni mtu mkubwab mwenye mambo mengi hapaswi kujiendesha mweneyewe.......au yeye sio sawa na pengo...
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kugonga ni bahati mbaya... ila hilo la kutokomea ni tatizo sana hasa kwa wenye imani!!! Nilidhani atamshika mkono na kunyanyua huyo aliyegongwa na kumpeleka kwenye matibabu

  Kama ni keli amekimbia, basi kale ka imani kwamba ni mmoja wa manabii a uongo kamepata maksi 100%
   
 14. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hivikwenye biblia msamaria mwema alifanyaje vile japo si yeye aliyekuwa responsible?
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  Usalama kwanza...
  Mengine baadae
   
 16. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama alitelekeza "HUMMER" yake lazima itakuwa scrapper sasa maana wajasiriamali na wazee wa vyuma chakavu sidhani kama walimwachia kitu.
   
 17. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Jamani, judge-not!

  Hamuwezi kujua kuwa yeye mwenyewe amepata madhara gani!

  Kwani madereva wote wanaokimbia baada ya ajali huwa ni makusudi?

  wengine ni kuchanganyikiwa, kitu ambacho nahisi yeye pia kimemkumba...usiombe kuona damu ya binadamu inachuruzika ndugu yangu..Ni kimbembe ati.

  Mi sitamhukumu hadi nilipate tukio full la kiuchunguzi...

  Ahsanteni.
   
 18. N

  Nanu JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani mwenye details zaidi atuhabarishe.
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Kweli ndugu yangu. Nafsi haina cha mchungaji, askofu wala mtume. Kwaza unatii nguvu za adrenalini na akili inakuja baadaye. Kama amegonga kweli basi atatakiwa ajiripotishe kwa polisi na baadaye kwenda kumwona mtu aliyemjeruhi. Hakuna formula ya ku-deal na emergency. Ni kazi ya adrenalini tu. Hapo hakuna common sense wala roho mtakatifu.
   
 20. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  jamni kwanini akimbie yy si mzee wa upako angemuombea fasta fasta kwa upako sasa anakimbia au alisahau upako om alitaka kwenda kuchukua afanye mambo
   
Loading...