Mzee wa Upako Apata Ajali na Kutokomea

Mzee wa Upako Apata Ajali na Kutokomea

Jamani, judge-not!

Hamuwezi kujua kuwa yeye mwenyewe amepata madhara gani!

Kwani madereva wote wanaokimbia baada ya ajali huwa ni makusudi?

wengine ni kuchanganyikiwa, kitu ambacho nahisi yeye pia kimemkumba...usiombe kuona damu ya binadamu inachuruzika ndugu yangu..Ni kimbembe ati.

Mi sitamhukumu hadi nilipate tukio full la kiuchunguzi...

Ahsanteni.

labda ana leseni au alisahau upako om
 
mambo yanaanza kugeuka katatibu na mwisho wa siku, ukweli utakuwa wazi kabisa
 
labda ana leseni au alisahau upako om

hahahaa umenichekesha sana, "alisahau upako home", uko right kabisa. Maana kama ana upako si angenena neno moja tu na mwendesha pikipiki akaamka?
 
hahahaa umenichekesha sana, "alisahau upako home", uko right kabisa. Maana kama ana upako si angenena neno moja tu na mwendesha pikipiki akaamka?

yani sipati picha kabisa
 
Ugonge mtu halafu ukimbie? Mhh, upako si ungefanya kazi sasa kumsaidia aliyegongwa? Imani ni kitu muhimu sana. Ila nina shaka na hawa wazee wa upako wa staili hii.
 
hadi jioni hii hakun anaweza thibitisha hii habari?watu tunakauka makoo kujadili habari ya uongo may be!(isiyothibitishwa) tunaomba chanzo kingine please!
 
hadi jioni hii hakun anaweza thibitisha hii habari?watu tunakauka makoo kujadili habari ya uongo may be!(isiyothibitishwa) tunaomba chanzo kingine please!

Nimeipata kwa shuhuda aliyeshuhudia hiyo ajali, kwanza Mzee alilipita gari lao akiwa kwenye mwendo kasi, kisha akamuona Mzee anakimbia direction nyingine, huku watu wakijikusanya mahali. Kifika karibu ndipo akaiona hiyo ajali, mwenye pikipiki alikuwa bado amelala chini bila msaada wowote huku gari la Mzee likiwa limetelekezwa eneo la tukio.Source wangu aliendelea na safari yake kuelekea kazini kwake.Uthibitisho utaweza kupatikana tuu, ama hospitali alipopelekwa kutibiwa huyo majeruhi, ama mtu wa karibu. Naamini by now, kuna waumini wake wameshasoma ama na Mzee mwenyewe keshaelezwa ila kwa vile hakuna cha kufafanua, ndio maana bado hakuna update.Kwa vile nimepata habari hii 'second hand news' na hakuna aliyekanusha wala kuthibitisha, then it stands.
 
huyu ni wakukamata na kuweka jela milele
 
Jamani, judge-not!

Hamuwezi kujua kuwa yeye mwenyewe amepata madhara gani!

Kwani madereva wote wanaokimbia baada ya ajali huwa ni makusudi?

wengine ni kuchanganyikiwa, kitu ambacho nahisi yeye pia kimemkumba...usiombe kuona damu ya binadamu inachuruzika ndugu yangu..Ni kimbembe ati.

Mi sitamhukumu hadi nilipate tukio full la kiuchunguzi...

Ahsanteni.

anacheza na mapepo sembuse damu?
 
unajua lazima aingie mitini si anavaa chain ya mamilion na huenda ktk gari hatembei bila mshiko wa nguvu mamilion kadhaa unafikiri kutembea na hammer mafuta yake yanaanzia kilo tatu(laki tatu) ndiyo unaweza angalau kupiga resi,sasa watoto wa mjini wangelamba chain lake mshiko pamoja na mapete anayovaa angepata hasara hasa yale mapete yake alazimike kwenda tena Nigeria kutafuta mengine wakati huo upako haupo tena
 
Wakuu hebu tartiibu. Tusikimbilie burdani ya kumsanifu mtu mashuhuri kabla hata ya kupata uhakika wa habari hii. Hayo ya Hummer yasubiri kwanza. Ya upako ni masuala ya kiroho ambayo wengi hapa hatuna uwezo wa kuyachambua na si vyema kuyafanyia mzaha.

Lililo wazi zaidi ni ukweli kwamba katika jiji letu ukigonga mtu ukasubiri kufanya usamaria, huna gerentii kama "wenye hasira kali" hawatataka kukuzimisha kabla hata ya kupata ukweli. Natumaini mzee wa upako amefuata busara ya kawaida kabisa katika hili. Tusubiri habari yenyewe. 🙁
 
Nimeipata kwa shuhuda aliyeshuhudia hiyo ajali, kwanza Mzee alilipita gari lao akiwa kwenye mwendo kasi, kisha akamuona Mzee anakimbia direction nyingine, huku watu wakijikusanya mahali. Kifika karibu ndipo akaiona hiyo ajali, mwenye pikipiki alikuwa bado amelala chini bila msaada wowote huku gari la Mzee likiwa limetelekezwa eneo la tukio.Source wangu aliendelea na safari yake kuelekea kazini kwake.Uthibitisho utaweza kupatikana tuu, ama hospitali alipopelekwa kutibiwa huyo majeruhi, ama mtu wa karibu. Naamini by now, kuna waumini wake wameshasoma ama na Mzee mwenyewe keshaelezwa ila kwa vile hakuna cha kufafanua, ndio maana bado hakuna update.Kwa vile nimepata habari hii 'second hand news' na hakuna aliyekanusha wala kuthibitisha, then it stands.
itakuwa ndiyo hivyo kwa nini asingiziwe mpakwa mafuta wa Mungu?Isipokuwa kama alikimbia badala ya kutoa msaada basi anahubiri asichokitekeleza hapo anafanana na wale wafarisayo na walawi wliomkuta yule mtu aliyejeruhiwa na wanyanga"anyi akielekea yeriko,mafarisayo na mlawi wakaangalia wakapita pembeni bali msamaria ndiyo akatoa msaada akampeleka gest na kuagiza ahudumiwa kwa bili yake;sasa huyu mtumishi hana huruma kabisa badala ya kutoa msaada angalau kwa nguvu ya upako anaingia mitini?sasa ana tofauti gani na hawa madereva wa daladala? Ama kweli humu kwenye haya makanisa kuna mengi tusiyoyajua
 
Back
Top Bottom