Jukwaa la picha hili beibe.Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
unatarajia nini.kutoka kwa.mzee???Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
kwahiyo ni.kweli.huwa anakurupuka.au sijakuelewa vizuriJukwaa la picha hili beibe.
Kwa hiyo mtatumia fursa hiyo kuiba kura??Safi wakati wa zoezi la upigaji kura, Kazi yake kubwa itakuwa ni kusinzia tu!