Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
acheni majungu
Wadau,
Hebu angalieni hizi picha za Mzee wa Kiraracha alivyochoka mbaya. Duh mpaka inatia huruma.
Hapo unamanisha nini choka mbaya?huruma ya kizushi? ebu angalia lako wachaupole wamamba..lete mambo ya mana sio udaku.....
Jamani muoneeni huruma Mzee Mrema, ni wazi ananumwa kaugonjwa fulani.Wadau,
Hebu angalieni hizi picha za Mzee wa Kiraracha alivyochoka mbaya. Duh mpaka inatia huruma.
kaugonjwa fulani kepi ako??Jamani muoneeni huruma Mzee Mrema, ni wazi ananumwa kaugonjwa fulani.
Kinachotia moyo haruhusu kukata tamaa na kujificha chumbani kama wengine.
Hii ni kuwa pro active na masiha kitu ambacho ni kizuri.
Nadhani haikumsaidia ila kikwete ilimsaidia sana!Babu wa Loliondo hakumsaidia?