Mzee wa Kiraracha choka mbaya

jamani nimemkumbuka huyu mzee alipokuja Mahenge, 1992, kwa 'hello' na kuwachimba mkwara waaisa walokuwa wanachimba rubby kule na kupaa hewani ndani ya hello yake.

jamaa ameifanyia mengi nchii hii. tumuombee badala ya kutumia picha zake kama maonyesho. Tutoe suluhisho la nini kifanyike afya yake itengamae
 
Na wewe jiandae kuchoka hivyo hivyo maana paka binadamu mna discuss afya ya mwenzenu ni ukosefu wa akili kichwani na kazi anapiga vizuri kabisa hata kuliko walio wazima kama wewe
 
amekuwa mweupe vp damu kushneh?
pole mzee wa kiraracha ndo life



Wadau,
Hebu angalieni hizi picha za Mzee wa Kiraracha alivyochoka mbaya. Duh mpaka inatia huruma.



EI.JPG


CII.JPG
 
Back
Top Bottom