mzee wa kichaga!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mzee wa kichaga!!!!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by 2my, Aug 18, 2010.

 1. 2my

  2my JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa m1 alimpa mimba binti wa kichaga, baba wa binti alimind sana akataka amfanyie kitu kibaya!ikabidi jamaa ampoze mzee kwa kumpa ahadi nono!
  JAMAA:Mzee kweli mm ndo nimempa mimba mwanao na wala ctamuoa,lakini mzee wangu km atajifungua mtoto wa kiume nitakupa mil 500 na duka kubwa k/koo ila km atajifungua mtoto wa kike nitakupa mil 300 na shamba kubwa!je mzee ikatokea mimba kuharibika itakuwaje????????
  MZEE:Aisee hakuna jinsi itabidi umpe mimba nyingine!!!!!!!!
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah sio amuoe kabisa.
   
Loading...