mzee wa kiarabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mzee wa kiarabu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Fatma Bawazir, Jan 1, 2011.

 1. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mzee mmoja wa kiarabu aliekuwa anaishi Tanga mjini alitaka kwenda kutembelea kijiji kimoja kinachoitwa mtibwani kilichoko mkoa wa Tanga, kwa kuwa hakuwa na mwenyeji ktk kiji hicho akawa analalamika akisema, Nataka kwenda ******* lakini manyege sina sijui takojoaje yani ( nataka kwenda mtimbwani lakini mwenyeji sina sijui nitakujuaje)
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ala huyu mzee fipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamaniiiiiiiiiiiiiiiii
   
 3. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mnhhhhhhhhhh fatma weeeeeeeeeeeeeee??!!!...nimependa avatar yako lakini..kama ni wewe mashallah...
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mmmmmmmh!!!!!
   
 5. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Fatma umeanza na makali haya haya bwana!
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Cjui itakuwaje akiongea hivyo mbele mama mkwe mmekaa wote
   
 7. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  :embarrassed::redfaces::whoo: Acha hizo legezeni misuli ya midomo na mikono iandike lugha laini kidogo Mmmmmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...