WA KISHUA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 365
- 130
Habari Za Masiku WanaJamvi Wenzangu, Hope Wote Mpo Salama Salmini, Kuna Kitu Kinanitatiza Sana Hapa Mtaani Kwangu, Kuna Jamaa M1 Kwa Makadirio anaumri usiopungua miaka 38 , anaMke Pamoja Na Watoto Watatu, Wa mwisho Yupo Darasa La Saba na wakwanza anamaliza form four this year, ameoa mwanamke wa kichaga ambae ni goli kipa na huyo jamaa ambae ni jirani yangu yeye alikuwa dereva wa daladala kipindi cha nyuma ila kwa sasa ni dalali wa malori ya mchanga, huyu jamaa anaTABIA moja ambayo inanikera hata nikikutana nae natamani hata nimtemee mate....,Cha Kwanza Anachelewa Kulala alafu inapofika Mida Ya Usiku huwa Anadhurura kwenye Nyumba za w2 na kuanza kula chabo wakati watu wamelala, na ameshaonekana mara nyingi akiwa anapiga CHABO , dizaini w2 wanamkimbza na kumpotezea cz ni mtu wa kitaa, Swali langu ni hili, Hivi Hizi Tabia Ni za Kurithi Au Ni LAANA ameachiwa kutoka kwa wazazi wake? kwani nikiangalia naona hakuna anachokosa kama MKE halali wa Ndoa Anae, na familia pia, sio siri huyu Jirani yangu ananitia kichefuchefu , Kuna siku aliwahi kuniomba LIFT nikampotezea hiyo ni kutokana na mamabo yake anayofanya ya kitoto.. Nawasilish
KUWA MTANZANIA NI MOJA YA MAAJABU YA DUNIA.
KUWA MTANZANIA NI MOJA YA MAAJABU YA DUNIA.