Mzee wa chabo...

Mzee wa chabo...

atakuwa na ugonjwa wa kisukari kwa hiyo lazima atafute start kwanza akapate cha kulalia usiku kwa mkewe
 
asante tumeshajua kuwa una gari na ulimnyima lifti!
 
Dalali wa malori ya mchanga anakaa masaki!!!
au ni ile masaki ya uswazi!
 
Hama huo mtaa wewe ili uondokane nae........


Kwa jinsi alivyomzoea, anaweza naye akahama kumfuata jirani yake wa zamani...lol


.....................................
Histiria haiishiwi wino.
 
Chabo apige mwingine ukasirike wewe!!!!!
unaishi mtaa gani make mi pia napenda sana........


Kisha ukifaulu unajisikiaje, tujuze.


.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
Hivi hukuwa na neno m'badala wa hilo 'goli kipa'? sio vizuri jamani.
Nilikuwa nataka nimuulize hivyo hviyo, maana kama nayemkera ni mwanaume na si mkewe, iweje umkashfu mpk mkewe? Angalau ungeandika ni Mama wa nyumbani .
Pili kama nakukera sanaaaaa, mwite umwambie kuwa hupendi Tabia yake ataacha maana ataona Aibu kujua kuwa mnajua tabia yake.

Tatu Usimuonyeshe Dharau maana Maisha ni Kama Gwaride , Mungu akisema Nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho na wa mwisho anakuwa wakwanza.
 
kwa kweli mungu ametuumba wanabamu na tabia zetu tofauti,zingine za kurithi na zingine cyo bali ya kujitakia:cheer2:
 
umejuaje kuwa huyo jamaa huwa anapiga chabo au huwa mko wote.
 
simple muekeeni ugolo madirishani tuu halafu ye akija ongeza malav davi utamsikia tu anavyoenda chafya na si unajua huwezi kukukimbia ukipiga chafya?lazima uisikilizie so unamkamaata kiulaiini then usimfanye kitu mwache aende,harudi tena nyumba hiyo
 
Back
Top Bottom