Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,444
Hahahahaaaaa!!! Dah!!! Madhara ya kukulia kwenye nyumba za kota hayo!!!! Nakumbuka miaka ya tisini kuanzia tulipofika darasa la nne hadi la saba ilikuwa ndiyo tabia yetu sana pale Line polisi Moshi!!!!
Tukishakula msosi wa usiku kuna eneo tulikuwa tunakutana tunapiga story mpaka mida ya saa nne za usiku tunaanza kuzunguka kota moja hadi nyingine kupiga chabo!!! Tulikuwa tunakuwa kundi la watoto wengi then tunagawanyika, badae tunakutana kama kupeana ripoti ya tulichoona!!!
Ni mchezo mchafu na wa aibu sitaki hata kuukumbuka, ila kuna vinara ambao kama kuacha waache miaka ya karibuni!!! Nadhani mchezo uliwaingia damuni