Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
The Boss, hicho ni kipindi cha nyuma sana. Serikali miaka mingi imempatia gari na msaidizi wa kudumu na kumsaidia katika matibabu. Hata gharama za matibabu ni serikali imekuwa ikimpatia. Last year or so alipewa gari nyingine mpya Discovery 4.
Kama mapungufu yapo ni ya kawaida.
Wewe kijana...soma historia ...
Huyu ni Katibu mkuu kiongozi mstaafu...toka enzi za mwalimu...na mara ya mwisho alimsaidia mzee mwinyi ...miaka miwili ya kwanza ya utawala wake.....kuweka muendelezoo...
The Boss, hicho ni kipindi cha nyuma sana. Serikali miaka mingi imempatia gari na msaidizi wa kudumu na kumsaidia katika matibabu. Hata gharama za matibabu ni serikali imekuwa ikimpatia. Last year or so alipewa gari nyingine mpya Discovery 4.
Kama mapungufu yapo ni ya kawaida.
Last time nilisikia huyu mzee analalamika kutelekezwa na serikali
maisha yalikuwa magumu mno kwake...
Sijawahi kumsoma kwenye kitabu chochote cha historia, si primary wala sekondari.
NAKUMBUKA Mwalimu Nyerere alijengewa nyumba na Jeshi la wananchi kule butiama wakati wa ALLY HASSAN MWINYI. Hii ni ishara kwamba Wazee hawa walipigania uhuru ili sisi wa baadaye tuje tuishi vizuri zaidi. Kimsingi, kama MWINYI angeacha kumjengea Nyerere nyumba hiyo nadhani Nyerere ndiye angekuwa rais wa kwanza mstaafu Afrika anayeishi kwenye ile nyumba yake mbovu mithili ya tembe ( mviringo) iliyopo kijijini Butiama. Kama nakumbuka vema ina vyumba viwili tu na muonekano wa kale.
Wengi wanaotembelea butiama wakiambiwa kwamba ile ndiyo nyumba ya mwalimu baada ya kustaafu na kukaa Ikulu kwa miaka 23 wanatoa machozi na kushindwa kuamini.
WATANZANIA WENZANGU KUFA MASIKINI KWA VIONGOZI WETU HAO KUNATUPA FUNZO ZURI KWAMBA UONGOZI NI DHAMANA. JAMBO LA MSINGI TUWAENZI KWA JINSI WALIVYOJITOLEA BURE KUITUMIKIA NCHI YETU.
HATA TUNGEWAPA NYUMBA WANGEZIACHA DUNIANI LAKINI HISTORIA YAO ITABAKI NA SISI DAIMA KWA KAZI KUBWA WALIOFANYA.
Kiongozi!
Naona imetoa PROMO ya kutosha katika hilo. Wewe ndio upo jikoni nini? R.I.P. Apiyo.
Mkuu Selungo; ni wajibu wangu kama mtoa taarifa kufafanua lile ninalolifahamu kwa uwezo wangu. Namfahamu mzee na baadhi ya wanafamilia kwa kiasi fulani, japo si sana.
.Sasa ukitaka kujua hawa wa leo ni viongozi wa sampuli gani; tafadhali temebelea hapo Regent estate utakuta kasili la mkulu na baada ya hapo nenda kijijini Msoga huko Chalinze ukaone estate ya Vasco Dagama!!! Sina shaka utajua kuwa hawa wa leo sio viongozi wazalendo bali viongozi wezi!!!
Ndugu zangu
Mzee Timoth Apiyo amefariki dunia usiku wa jana akiwa katika matibabu South Africa katika Hospitali ya Mill Park South Africa.
Serikali ikishirikiana kwa karibu na ubalozi wetu South Africa unafanya mipango ya kusafirisha mwili kuuleta Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwake Sitaki Shari.
Poleni sana wafiwa; Clay; Slyvia pamoja na wanafamilia wote.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Rest in Peace Mzee Apiyo. You lived your life kwa uadilifu wa juu.
wenzake wa umri huo wana majumba masaki , mikocheni na mbezi beach...
Ukonga alifuata nini kama sio kukumbuka shuka asubuhi??????