Afadhali Nafasi imepatikana kwa maana vyumba siku hizi shida sana Dar, watu wakipungua wengine tunapata nafasi ya chumba!
RIP Mzee Apiyo. Hawa ndio watu waliofanya kazi kwa uaminifu wa hali ya juu katika nchi hii. Mwalimu Nyerere alikuwa anamuamini sana Mzee huyu. Kwa sasa kuwapata watu kama Mzee Apiyo, ni ndoto.
Tiba
Afadhali Nafasi imepatikana kwa maana vyumba siku hizi shida sana Dar, watu wakipungua wengine tunapata nafasi ya chumba!
Wewe kijana...soma historia ...
Huyu ni Katibu mkuu kiongozi mstaafu...toka enzi za mwalimu...na mara ya mwisho alimsaidia mzee mwinyi ...miaka miwili ya kwanza ya utawala wake.....kuweka muendelezoo...
Sijawahi kumsoma kwenye kitabu chochote cha historia, si primary wala sekondari.
Historia haiandikwi katika vitabu peke yake.....na wala si kwa ajili ya mitihani ya primary wala secondary peke yake
Alikuwa na cheo gani huyo mzee?
asante kwa tarifa ila nimeshtuka maana macho na masikio dunia nzima sasa yapo africa ya kusini,
huna haja ya kupiti vipimo unapaswa kuanza Matibabu ya Afya ya Akili ikiwa ni pamoja na sindano za kuzuia kichaa cha Nguruwe mara moja!