Mzee Sumaye ameponzwa na Kubenea

Mzee Sumaye ameponzwa na Kubenea

Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!

Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
Hii inadhihirisha sio kila siafu anaweza kuwa malkia wa siafu.
 
Taalima ya uchoraji inapatikana wapi? Hao uliowataja wana taaluma ya uchoraji toka chuo gani? Kwa sisi wazee wa zamani marco tibasima tunamfaham toka miaka ya 90 akichora na wengine kama akina noah yongolo,ibra radi,john kaduma n.k

Mchora katuni wa gazeti la HABARILEO kumbe hata taaluma ya uchoraji hana. Haki ya Mungu muwe mnaleta vitu kama hivi tujionee maana haya magazeti ya UHURU na HABARILEO sijawahi kuyasoma katika maisha yangu...Natamani kumfahamu na mchora katuni wa UHURU..Mimi nawajua Said Michael na Masoud Kipanya
 
Taalima ya uchoraji inapatikana wapi? Hao uliowataja wana taaluma ya uchoraji toka chuo gani? Kwa sisi wazee wa zamani marco tibasima tunamfaham toka miaka ya 90 akichora na wengine kama akina noah yongolo,ibra radi,john kaduma n.k
Basi nimeelewa.Katuni imechorwa leo ila ina muonekano wa miaka ya 90! Halafu hii fani ya uchoraji kuna muda ukifika waachie watu wa kizazi husika! Likatuni limekaa ki hovyo hovyo!
 
Anthony Komu alikuwa best wa mbowe na ndiye alikuwa mtunza fedha wa chadema.
 
Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!

Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
....hisia zako tu!,
siku akiondoka sijui utasemaje....!!
 
#24 _breakingnews

WAZIRI mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, kesho Jumatano, saa 5 asubuhi, atakutana na waandishi wa habari, kwenye ukimbu wa Kisenga, Millenium Tower (LAPF) Kijitonyama. Mhe. Sumaye, atazungumzia uchaguzi wa viongozi wakuu ndani ya Chadema.
 
Mbowe ni Jabari la siasa; ukitaka kishindana naye jipange upangike vinginevyo lazima uanguke pua kama.sivyo basi upepo wa kisulisuli lazima ukukumbe!!

Mzee watu kaingizwa chaka ba madogo laah!
 
Shikamoo, mtoa mada kweli nimeamini CHADEMA inaviongozi wanao jitambua.
Mleta uzi kachambua vyema nimeiona radha ya siasa ambayo imejaa kila aina ya mbinu ili mradi kundi moja lichukue ushindi na siku ccm wakikubali kufanya siasa za namna hii hata zile propaganda zao chafu bila kutegemea dola hakika tutaona radha nzuri ya siasa.
 
Naunga mkono hoja,
Japo sii yote yaliyosemwa humu ni kweli, mengine ni hisia tuu, mengine ni urongo wa mchana kweupe lakini naomba kukiri, huyu jamaa MMM, Martin Maranja Masese, yuko vizuri sana kwenye kufanya analysis.
Huu ni mchango wake mahali

P
 
Vipi kuhusu mwenyekiti wako Jiwe
Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!

Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
 
Umejitahdi. Japo bado hujaijua Chadema, wanachadema. Na bado huwajui wote uliowataja.
Hivi Leo Komu anayemjua vizuri Mbowe...ngoja niweke kituo
 
Ileile hamahama ya EL na vijana wake imeleta shida kubwa sana CDM.. wakati EL anahama na vijana wake ilikuwa nafasi nzuri pia kwa CCM kupenyeza watu wake..

Vyama vya upinzani vitengeneze mifumo imara yakudhibiti mapandikizi kwenye nafasi nyeti ili kupunguza madhara nyakati za mafuriko..

Mbowe, Mnyika, Lissu, ZZK, Maalim Seif, Jussa, Babu duni mpaka sasa hawa ndio wapinzani pekee wasiowaza maslahi binafsi wala kuwa na tamaa..

Hizi siasa za kibongo zimejaa wasaka fursa, watafuta vyeo, na wanaowaza maslahi binafsi na tusipokuwa makini kila siku upinzani utaanza upya...
 
Kilichomleta Sumaye CDM ni hasira lakini si kweli kwamba alikuwa mpinzani wakumuamini kiasi hicho, upinzani wa kweli huongozwa na dhamira kutoka moyoni na si ugomvi wa maslahi..

Sumaye, EL, Marehemu Kingunge nk hawa waliletwa upinzani kwasababu ya ugomvi wa maslahi ndani ya CCM, hili linahitaji umakini 2020 maana tayari ndani ya CCM kunaonekana kuna mgogoro wa kimaslahi ambao unaweza kuzusha hamahama ya watu kuja upinzani ( bila misingi,mikakati na intelejensia iliyo imara ndani ya upinzani linakwenda kuzuka tatizo lingine kubwa).

Ukiweka mikakati imara ikawa kama katiba ya upinzani juu ya wahamiaji wote kuanzia zile high value figures to low figures siku zote upinzani utabaki salama kwenye misingi na watu wake..
 
Anarudi alikotokea. Asante Mungu kutuepusha na kikombe hiki.
FB_IMG_1575424553740.jpeg
FB_IMG_1575424751050.jpeg
 
Kama unataka maisha yako ya kisiasa ndani ya CHADEMA yawe mabaya basi gusa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA!

Maelezo marefu lakini yote ni katika kuhakikisha nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ina mwenyewe wa maisha!
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020.
 
Back
Top Bottom