Mzee Ramadhan: Mlima Hanang hufanyika Ibada za Jadi lakini Juzikati Wanakijiji walipigwa na askari wa TANAPA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Mzee Ramadhan amesema amepoteza kijana wake akiwa na mkewe na Watoto wao Wanne

Amesema kwa Kawaida kwenye Mlima Hanang hufanyika Ibada za Jadi ambapo Ng'ombe huchinjwa na kuliwa huko huko Juu ya Mlima lakini Juzikati Katikati ya Ibada wahusika walivamiwa na askari wa TANAPA na kupigwa sana

Source: Ayo TV
 
Kada subiri tafiti za kisayansi kwanza,
Mnapemda sana haya mambo ya ulozi!!
 
Mila na utabiri wa El Nino na mvua zisizo kawaida wapi na wapi?
 
Kada subiri tafiti za kisayansi kwanza,
Mnapemda sana haya mambo ya ulozi!!
Usishangae kukuta hata hawa wanasayansi wetu wa mchongo wawe wanamuamini huyo mzee wa jadi zaidi.

Nilikuwa shocked kusikia hata madaktari walienda kupata kikombe Cha Babu wa loliondo. Wakati wa COVID ndio niliona kituko Cha ajabu, kilijengwa kibanda Cha kujifukiza hapa hospital ya muhimbili. Na madaktari wakawa wanaona fahari kabisa kujifukiza eti tusidharau tiba za jadi, seriously kwa watu waliosoma mambo yanayohitaji scientific proof wanakenua kwenye kibanda Cha kujifukiza?!
 
Usishangae kukuta hata hawa wanasayansi wetu wa mchongo wawe wanamuamini huyo mzee wa jadi zaidi.

Nilikuwa shocked kusikia hata madaktari walienda kupata kikombe Cha Babu wa loliondo. Wakati wa COVID ndio niliona kituko Cha ajabu, kilijengwa kibanda Cha kujifukiza hapa hospital ya muhimbili. Na madaktari wakawa wanaona fahari kabisa kujifukiza eti tusidharau tiba za jadi,0seriously kwa watu waliosoma mambo yanayohitaji scientific proof wanakenua kwenye kibanda Cha kujifukiza?!
Kwahiyo wewe umechanjwa?

Elon musk ana dili wahi!
 
Back
Top Bottom