kaacha vitenesi vyote nje

kwa mtanzania maskini, anayelia njaa, rushwa, magonjwa na ukandamizaji wa polisi/ askari wa jiji, post hii inamsaidia nini?
Atacheka na kusahau matatizo yake kwa Muda weweeeeee..............acha uconservative,unataka posts za misiba nn???kwa mtanzania maskini, anayelia njaa, rushwa, magonjwa na ukandamizaji wa polisi/ askari wa jiji, post hii inamsaidia nini?

Msimtaje Wassira tafadhali.......najua mtakuja hapa na jina lake kuhusisha na hii picha...chondechonde

Heri mimi sijamtaja Wasira.
Kwi...kwi.. kwi....Vile vitenesi au masaburi?
Jamani jamani.Kuna ukweli fulani hv