Mzee Mwinyi na JK wanastahili U-Daktari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mwinyi na JK wanastahili U-Daktari

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by raffiki, Nov 27, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,baada ya Mzee mwinyi kukamata nondo watu wanasema sana, lakini tuwe waungwana mzee huyu na JK kwa kuongoza tu taifa wanastahili kutunikiwa degree hizo. Hiyo ni kutokana na majukumu yao na challenge walizopata katika uongozi,hiyo ni halali yao watu wasibeze eti za kupewa ipi sio ya kupewa.
   
 2. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  What constitute the intersept between the two make a very interesting story of their era in the helm and their honored "doctorates". Who honored Mwinyi? Am just curious cause Am just learning about that here.
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  tatizo sio kubeza mkuu bali ni uhalisia wa mambo na hadhi ya PhD (labda zao tuziite 'phd'). Hapa namaanisha kama mtu alikuwa na Diploma kwa nini asipewe Bachelor Degree?, na kama ana Degree kwa nini asipewe Masters? na kama ana Masters basi ndio apewe PhD. Kama ana PhD (Kama (mfano) Dr. Slaa basi apewe Prof.
  Hili suala la kuwatoa watyu STD VII na kuwapa hizo heshima matokeo yake zinapoteza hata nia na matokeo yake watu wataleta issues za Prof. Maji Marefu
   
Loading...