Mzee Mwinyi aibiwa

Mzee Mwinyi aibiwa

Wajinga ndiop waliwao. Kumbe kupanda kizimbani ni rahisi? Ngoja uje uongozi wa maana ndo tuone hawa watu nao wakipandishwa kizimbani kama watuhumiwa kujibu kashfa za kufanya biashara wakiwa Ikulu!!!
 
dunia ya sasa pesa ndo kilakitu, haijalishi unacheo au upo katika hali gani. kwenye hii dunia hakuna atakaye kuthatmini bila kuwa na pesa. ONA, MAFISADI wanataka pesa, MWANANCHI nae anataka pesa ,kwa hiyo ipo VITA YA BARIDI na at the end KUNA anaye loss na anayegain!!!
 
Cha kushangaza wakiibiwa mafisadi sheria zinakuwa na nguvu sana, lakini mafisadi wanapowaibia Watanzania basi sheria zinadharauliwa na hivyo mafisadi kama akina Mkapa, Chenge, Mkono, Yona, Ngeleja, Lowassa n.k. wanaachwa tu waendelee kupeta uraiani bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria.

Wacha mafisadi nao waibiwe, huyo jamaa aliyeiba mi na-mwona ana akili sana kwa sababu ameiba kwa walionazo kuliko kwenda kuwaibia walala hoi. Hima hima majambazi, msiumize walala hoi. Wafuateni mafisadi, mkifanikiwa mara moja tu kumwibia fisadi, unastaafu na huo ujambazi. Maana mkupuo mmoja tu ni wa kutosha.

Na huyo tusimwite mwizi, ni mwananchi anayechukua kilichoibwa kwa wananchi.
 
Jamani hapo Mwizi ni Mwinyi, huyo jamaa alikuwa katika kujikwamua... chonde chönde!
 
Nilisikia Batenga alimwibia Nyerere matofali. Lakini sijuhi ukweli wa stori hii. Wanasema Nyerere alikuwa akirudi kutoka kazini alikuwa anafyatua matofali hili ajijengee nyumba.

Batenga alijiunga kumsaidia kwenye kazi hiyo. Baada ya siku kupita na matofali kuwa mengi, Batenga akaleta gari wakati mwalimu akiwa ziarani. Akawaambia walinzi au waliobaki nyumbani kuwa mwalimu kamwambia achukue matofali.

Kwa sababu alikuwa anafanya kazi na mwalimu, wakamwambia achukue. Mwalimu aliporudi akakuta eneo la matofali leupe.

kwi kwi kwi....halafu Batenga akaenda kujengea wapi?............au aliyauza?
 
Zakumi,
Kibanda changu kimekwama. Unajua tena kusomesha watoto wawili chuo kikuu hapa US si kazi ndogo. Sijaweka madirisha, na nitaomba msaada wa kifedha. kwi!kwi!

Bongo si wanasema watoto pensheni. Hao watoto wako tayari wamarekani? Wanamaliza shule wanaangalia maisha yao tu? Anyway, si unajua mimi ni kabaila. Ninayo dili. Turudi Butiama na ku-brand jina la Nyerere.
 
How could an ex-President, with a minister for a son, use a streetwise agent beats me. Doesn't he know Knight Frank and the likes? Ridiculous......:embarassed2::eyebrows::lol:

Watanzania wa siku hizi ni nani mwenye ethics za kazi? Wafanyakazi wa prime institution kama BOT ni wezi, itakuwa agent wa nyumba?
 
Huku ndio Kuzeeka Vibaya!! Si angesamehe Tuu wenye Kuhitaji wakatumia!! Hajui Hela ni Maua na Hakuna anayezikwa nazo?
 
imeandikwa,akikupiga shavu la kulia,geuza na la kushoto.Akikunyang'anya shati mpe na suruali.Mzee Ruksa,ajikaze afanye ivyo
 
Jamani babu Mwinyi hajakuibia ila tu amekula hapo sehemu ya kodi yetu. Wewe umewaibia watanzania kiasi gani? Je kuuza Loliondo na kwingineko sii wizi? Je tukikushtaki tutakuwa tumekuonea?
Eti ndiyo viongozi wanaodai waundiwe senet watupa mawazo namna ya kuongoza nchi. They should all go to hell!
 
Back
Top Bottom