Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
CCM Ni Chama Dola!Hayo mengine yooote ni porojo tu na matukio ambayo yatapita kama mengine mengi tu yalivyopita lkn mwisho wa siku Bw.Pombe Magufuli ndiyo raisi ajaye wa JMT na zaidi ya 3/4 ya Bunge lijalo litaundwa na CCM!
Kwa kukumbusha tu Wakuu wa Mikoa wote ndiyo Maraisi wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya wote ndiyo Maraisi wa Wilaya na hakuna linalofanyika Wilayani kwake bila idhaa yake, Tume ya Uchaguzi iko chini ya Serikali ya JMT na Kiongozi wake anaweza kufukuzwa au kuhamishwa muda wowote ule na Raisi wa JMT, Matokeo ya Uraisi wa JMT hayapingwi kwenye Chombo chochote kile halali TanZania, na mwisho na labda la muhimu kuliko yote Raisi wa JMT ni raisi mpaka pale Raisi mpya atakapoapishwa!
Usisahau pia wafadhili Lowasa kama akina Mengi, Rostamu ni moja kati ya wadaiwa sugu wa Serikali ya JMT!
Sasa kama Lowasa ana uwezo wa kuivusha CHADEMA kwenye vihunzi vyote hivyo basi atakuwa Raisi wa JMT hapo 2016!
Nyie mnaoingiwa na imani kuwa hayapingwi na kuhisi mnataweza kupora haki ya wananchi, jiandaeni na the heague !!!
Pia tambua nguvu ya mitanzano ya kijamii, ni kubwa kuliko, 2010,2005,2000,1995....matokeo yatawekwa hadharani hata kabla tume haijatangaza.....sasa chezeeni sasa hivi, mkidhani tuko stone age!!!
Mtaumbuka
Weka hifadhi ya maneno uyatumie baadae, maana kuna kipindi matokeo mtayaogopa kutangaza mnavyotaka kwa jinsi yatakavyokuwa