Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

Mzee Mwanakijiji, Tafadhali...

you are right, ni walewale tu!! Lowassa, Magufuli, JK, SUmaye, etc

They all grew in the same family, CCM

Wametoka Familia Moja Ya Nyerere. Kiongozi Mwema Mpaka Vatican. Lakini Kwenye Hao Watoto Wake, Mmoja Wao, LOWASSA, Kawa Jangili - FISADI. Ndio Maana Nyerere Akasema Huyo Hafai.
 
Maoni yako.... Mungu anaangalia moyo si nje Km binadamu atazamavyo.. Kumbukeni hilo

Kwahiyo Mungu alizungumza na wewe kuwa huyu anafaa?
Mungu yupi huyo?
Angalia usiongeze wala kupunguza neno ktk unabii wake.
Mtujuze nasi mnapoongeaga nae juu ya hilo.
 
Hakuna kitu kama hicho Dunia hii eti Mwananchi ndiyo anaamua nani awe raisi ni nani alikudanganya?
Hakuna nchi Dunia hii ambayo Mwananchi anaamua nani awe raisi wa nchi bali Raisi wa nchi huamuliwa na Mfumo wa nchi (System) halafu ninyi mnaoitwa wananchi mnaambiwa kupiga kura kama kutimiza wajibu tu lkn Raisi anakuwa ameshateuliwa, na mfumo ndiyo unaweka Raisi na kumtoa na hii ni Dunia nzima tofauti iko tu kwenye aina ya usanii kuna wengine ni wasanii zaidi ya wengine kwenye hili swala, hivyo hapa TanZania mfumo umeshaamua Raisi ajaye awe Pombe Magufuli na Itakuwa hivyo labda afariki kabla! Hakuna raisi atakayetoka nje ya CCM mwaka huu labda yaje mapinduzi ya Kivita sasa sijui kama Lowasa kajiandaa kwa hilo... hapo siwezi kujua lkn kwa KURA, HAITOTOKEA KAMWE!

Mfumo huo unaouongelea ulikuwa zamani! Leo hii mfumo ungeamua km unavyotaka kutuamisha hapa, mgombea Angekuwa ni BM.... Bado hamjifunzi kuwa mambo yamebadirika?
 
Wametoka Familia Moja Ya Nyerere. Kiongozi Mwema Mpaka Vatican. Lakini Kwenye Hao Watoto Wake, Mmoja Wao, LOWASSA, Kawa Jangili - FISADI. Ndio Maana Nyerere Akasema Huyo Hafai.

Lowassa hafiki hata nusu ya JK kwa ufisadi
 
Huyu jamaa ni mtu wa hovyo sana siku zote nime kuwa nampa ila mods wa ni piga ban za kipuuzi.huyu jamaa ni laana ktk Hivi nchi.bahati mbaya sana mabadiliko mengi yamempa kazi ya ziada kubadili notes zake.
 
Lowassa hafiki hata nusu ya JK kwa ufisadi

Tupe Ushahidi Kama Unao. Lakini JK Hagombei Tena Kuendeleza Ufisadi Nchini, Ila LOWASSA Ndio Anachofanya.

MAGUFULI Pekee Ndiye Msafi Ndio Maana Inabidi Tumchague Ili Asafishe Serikali Yetu.

TUSIKUBALI KUBARIKi UFISADI PAPA WA LOWASSA KWA KUMPA KURA ZETU.
 
Tupe Ushahidi Kama Unao. Lakini JK Hagombei Tena Kuendeleza Ufisadi Nchini, Ila LOWASSA Ndio Anachofanya.

MAGUFULI Pekee Ndiye Msafi Ndio Maana Inabidi Tumchague Ili Asafishe Serikali Yetu.

TUSIKUBALI KUBARIKi UFISADI PAPA WA LOWASSA KWA KUMPA KURA ZETU.

ushahidi wa Lowassa unao?? Ushahihi wa nyumba upo, transfer of ownerships zimefanyika, meli mbofu ipo ferry, barabara mbovu pia zipo

we nyambafu kweli wewe
 
Mzee mwanakijiji atakuwa anakunywa wine sasa roho yake umetulia ana amani magufuli Rais wake malalamiko huku jf waachie malofa sasa
 
Mfumo huo unaouongelea ulikuwa zamani! Leo hii mfumo ungeamua km unavyotaka kutuamisha hapa, mgombea Angekuwa ni BM.... Bado hamjifunzi kuwa mambo yamebadirika?

Matokeo umeyaona sasa.
BM na EL hawakuwa kwenye hizo systems bali walikuwa wanabebwa na watu flani flan tu.
Systems ndio hiyo.
 
Hii nchi ina vichaa wengi...nimeamini kuna watu wanaipenda tu Chadema kama wanavyopenda wake zao wa ndoa...kweli ule uchafu tunawaona ndio makamanda kuliko waliopigania chama usiku na mchana?
 
It all boils down to whether Lowassa was an ASSET or LIABILITY to Chadema/UKAWA. With hindsight let us calmly debate that. Now that the 'winner' has been declared, let us ask ourselves if Lowassa's CAPITAL is long-term or just short-term. The answer will help to formulate the strategy for moving forward. Matusi au kumkejeli mtu kwa sababu ya mtazamo au maoni yake hayana msaada wowote.
 
Tatizo tanzania tunashabikia siasa kama mpira wa simba na yanga , tukidhani wakifungwa simba hasara kwa wanasimba na wakifungwa yanga hasara kwa wanayanga . Mfumo mbovu ni athari kwa kila mtu atakaye ishi ndani ya tanzania.sasa kwa mara yankwanza tanzania tangu nizaliwe na kuwa na akili timamu nashuhudia ubakaji wa demokrasia na kama hii haki ni ya lowasaa ili kupata mabadiliko ya kweli basi itajidhihirisha wazi na kama ni ya jp itajidhihirisha
kunaudhaifu mkubwa sana katika katiba yetu tuliyo nayo nadhani watanzania wengi mtakubaliana nami kua kipengele cha rais kinampa power kubwa sana kiasi kwamba anaweza kuwa dikteta akipenda na pasiwe na mtu wa ku muuliza hayo ndio mambo tunayo taka yarekebishwe kwenye katiba
 
Pole sana Mwanakijiji kwa matusi, kebehi, dharau zote ulizopewa toka kuingia kwa Lowasa chadema hadi tumemaliza uchaguzi huu., ni wachache sana tulikuelewa, wengine wataanza kukuelewa sasa na wengi watakuelewa zaidi pale ambapo ukweli wote uliofichwa utakapofunuliwa.

Thanks for OZ, it was successfully, moja ya silaha kali sana zilizomuua Lowasa. Mungu anaiwazia mema Tanzania.
 
Back
Top Bottom