Mzee muhiddin gurumo hospitalini!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
.Mwanamuziki mkongwe wa bendi Msondo Ngoma, Muhiddin Gurumoakiwa katika hospital ya Taifa Muhimbili, Dar es salaam akipimwamapigo ya moyo na Ofisa Muuguzi Msaidizi wa Hospital hiyo, SuraiyaMohamed ambapo Gurumo amelazwa kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kina wa afya yake tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.(Picha kutoka bongostaz.blogspot.com)

Umeipenda Hii Story? Share na Washkaji:
 
Hivi kumbe bado ni mgonjwa augue pole Mungu amponye mapema ili arudi kuendeleza gurudumu hili la kuijenga Tz yetu wanyonge
 
uchunguzi gani huo wiki nzima
pole ankooooooooooooooooooo mungu atakuponya natumaini zile nyumba zetu pale kariakoo zinakukumbuka kuja kukuona
 
pole sana kamanda Gurumo.

Hussein jumbe aliporudi msondo baada ya kuhamia sikinde kwa muda alitunga kibao hiki kwa ajili yako na wapenzi wote wa msondo aliowaudhi baada ya kuhama huku ikizingatiwa msondo ilikua ikimtegemea baada ya TX MOSHI kufariki,jumbe aliimba hivi:

Naapa sitarudia maudhi kuwafanyiaaa ndugu zangu nyie eeeeeh eeeh,mengi mmenivumilia msondo ngoma mi natulia,familia yangu mchaka mchaka inanipeleka,umri nao Ridhiwani wangu unakimbia

Leo ninatoa ahadi kwa mjomba nimerejea,shida na raha nitavumilia ndio dunia,nasi tunakupokea karibu nyumbani uje tulia,karibu karibu ndugu yangu,hapa ni nyumbani kwako ondoa shaka tunakukaribisha sote karibu,soma alama za nyakati ukishikwa shikamana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom